yanga msitake kutuudhi. sisi tumesahau tofaut zetu tumeamua kuja kuwashangilia mnafanya mambo ya ajabu team kama hii haipaswi kupata hata 0 wanatakiwa wapate negative 0 kabisa hawa wapigeni 10 leo kwa hilo moja lao. ni team mbovu sana hii huko kwao inashika nafasi ya nne wakati ninyi mnaongoza.
Ahsante, Amiss Tambwe.Dk 46 yanga 3 platinum 1