Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Goli la 3 linadhiirsha kuwa anko ngasa karud, ilikuwa ni bonge la pas kutoka kwa fund niyonzma, ngasa akatoka nayo nduk had kwnye sita, akamtafuta tambwe yupo wap, tambwe akatupia!
 
yanga msitake kutuudhi. sisi tumesahau tofaut zetu tumeamua kuja kuwashangilia mnafanya mambo ya ajabu team kama hii haipaswi kupata hata 0 wanatakiwa wapate negative 0 kabisa hawa wapigeni 10 leo kwa hilo moja lao. ni team mbovu sana hii huko kwao inashika nafasi ya nne wakati ninyi mnaongoza.

Hao wamesta Sofa paka. Walioshindwa home and away. Yanga bado iko vizuri
 
Historia inatulinda tukienda Bulawayo huwa tunafanya vizuri kuliko dar, kule kwao nina uhakika tutawapiga goli saba bila
 
yanga msitake kutuudhi. sisi tumesahau tofaut zetu tumeamua kuja kuwashangilia mnafanya mambo ya ajabu team kama hii haipaswi kupata hata 0 wanatakiwa wapate negative 0 kabisa hawa wapigeni 10 leo kwa hilo moja lao. ni team mbovu sana hii huko kwao inashika nafasi ya nne wakati ninyi mnaongoza.
 
Makoye Matale niko kwenye Group moja la Whatsapp nimewapa historia ya Yanga kwa timumza Zimbambwe kuna jamaa mmoja akaja na hadithi mwisho wa siku kamuomba Adm amuondoe kwenye group baada yakuona amechemka.
 
Last edited by a moderator:
Bora hii nafasi ya Platinum wangepewa Ndanda labda wangeleta upinzani.
 
Back
Top Bottom