wiseman2000
New Member
- Mar 15, 2015
- 1
- 0
Naona leo mmewakamata vibonde wa Bulawayo.Watu Wa Roho Mbaya Ndio Kama Wewe
Hawa Platinum bure kabisa, sisi tumejitolea kuwapa support halafu ndo wanafungwa migoli yote hiyo utafikiri Netball.ha ha dua la kuku halijampata mwewe.
Mkuu we ni mtangazaji nini? hahahaaaaa upo huu kiongozi
Kiwango chetu kikubwa
Naona leo mmewakamata vibonde wa Bulawayo.
Mambo bado
Watani Hongereni sana, hawa Platinum wametuangusha. Kwa ushindi huu hawa jamaa wakipita itabidi tuanze kwenda hija Zimbabwe.Ahaaahaa! Hapana mkuu, wakuu kama wakina wabhejasana huwa hawapendi vitu nusu nusu, ndio inabd useme hvyo mkuu.
leo mmepata vinonde wapigeni mabao hasa hawa wazimbabwe team yao mbovu sana kwa kweli. walikuja kutalii tu. hawa muwapige 10. na inawezekana kama mkitulia.
Watani Hongereni sana, hawa Platinum wametuangusha. Kwa ushindi huu hawa jamaa wakipita itabidi tuanze kwenda hija Zimbabwe.
Yanga si mbaya mpaka muda huu... Tunashukuru kwa hilo, ongezeni mawili zaidi.
#YANGA #
hao wangekutana na mnyama wangepigwa kumi.
Nimesema, mikia tuachieni Yanga yetu, hatuhitaji sapoti yenu ya kinafiki!
Yanga timu ongezeni la tano....
Yanga daima mbele nyuma mwiko.