Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

nifah leo umejificha wapi leo??
 
Last edited by a moderator:
Ahaaahaa! Hapana mkuu, wakuu kama wakina wabhejasana huwa hawapendi vitu nusu nusu, ndio inabd useme hvyo mkuu.
Watani Hongereni sana, hawa Platinum wametuangusha. Kwa ushindi huu hawa jamaa wakipita itabidi tuanze kwenda hija Zimbabwe.
 
Yanga timu ongezeni la tano....
Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Back
Top Bottom