Yanga Okwi huyo huyo,
Hii ndio Yanga ya kimataifa bwana, sio wale wenzetu ambao hawajatoka hata mpakani inaenda miaka kibao sasa...
bmdulki oyrskfgk nn liuey rsfshks jdkdlkedo
Mimi Leo niko FC platinum
Kama hujui kitu ni busara kukaa kimya.Yanga kabakiza mechi 8, Simba 6
Kipindi kile nilikueleza sababu za kusuasua ni kwamba tulikuwa tunauguza na siku na stendi ndo ulikuwa msiba lakini baada ya kuanua matanga sahivi kila tunayekutana naye ni vipigo tu. Shahidi wewe mwenyewe.Mzee wa sababu kazini.....
Hahahaaa, ujue wiki ilopita walitawala jukwaa ila leo ni zamu yetu....Wamekula ban wapi?
kimewapa ambacho hawakukitegemea leo.
Hahahaaa, ujue wiki ilopita walitawala jukwaa ila leo ni zamu yetu....
Kutesa kwa zamu ila sisi ndio zaidi.
Sababu ya kwanza ulibahatisha tu.Kipindi kile nilikueleza sababu za kusuasua ni kwamba tulikuwa tunauguza na siku na stendi ndo ulikuwa msiba lakini baada ya kuanua matanga sahivi kila tunayekutana naye ni vipigo tu. Shahidi wewe mwenyewe.
Na kuhusu Minziro hilo linafahamika, kuna msimu mmoja alikuwa anafundisha timu ya Prisons aliwapa maelekezo kabisa mabeki wake kwamba baadhi ya wachezaji wa Yanga wasiwakabe kwa nguvu sana na matokeo yake timu ilipoteza na Minziro msimu uliofuata akapata ajira Yanga, kwa hiyo sioni ni kwa nini sasa ashindwe kuisaidia timu yake anayoipenda kupata ushindi ukizingatia mbio za kugombania ubingwa zilivyopamba moto.
Dah, pole sana mkuu.Jobless kama mimi tuna raha sana sometimes. ...Mkuu mimi mpaka niliumwa ile jumapili na wiki yote hii nimeitia hasara serikali kwa kufanya kazi chini ya kiwango.
Dah, mkuu nawe ulipotea sana.
Dah, mkuu nawe ulipotea sana.
Huyo jamaa bora usimtaje tu maana.....
Tantalila ndo nini?Sababu ya kwanza ulibahatisha tu.
Ila ya pili ni maneno ya vijiweni tu siwezi kuyaamini.
Ila unaonekana mzee wa tantalila sana wewe...lol
Hiyo mechi naikumbuka sana, bila shaka ulikua msimu wa 2010-2011.Hii mechi ilikua ya mwisho na nilifurahi sana.Ila kuna mchezaji wenu mmoja alipaisha penalty (simkumbuki ni nani) na kama angeipata nyie ndio mngekua mabingwa.Bado siyaafiki maneno yako.Tantalila ndo nini?
Kama unaona hiyo ya Minziro ni maneno ya vijiweni ngoja nikupe na hii:
Kuna msimu mmoja sikumbuki ni msimu upi, Simba na Yanga zilikuwa na pointi sawa na zilikuwa zimebakiza mechi moja kwa kila timu, Yanga ilimaliza na Toto na Simba ilimaliza nadhani ni maji maji, kuna beki wa Toto baada ya kuona Yanga hawafungi badala ya kuzuia akawa anapisha mpira au ana uruka kama ni mpira wa chini, na kipindi kile golikipa Wiliam Mweta baada ya kuwazuia Yanga kipindi cha Kwanza kocha akamtoa na kipindi cha pili akamwingiza kipa mwingine ambaye ndani ya dakika 45 alifungwa mabao ya kutosha na hatimaye Yanga kuwa mabingwa kwa wingi wa tofauti ya magoli.
Simba imeshasahaulika kwenye medani za kimataifa! Wewe jifariji tu.Aahh wanajishebedua kuwafunga vibonde
Tantalila ndo nini?