Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

usiseme azam wataonesha, sema viongoz wa yanga wataruhusu kuonekana hili gemu?
 
Kila la kheri wachezaji wetu wa Yanga, kila lenye shari nanyi liwaepuke uwanjani.
Mwenyezi Mungu awasimamie msonge mbele maana nyuma mwiko.
Dua zetu zote kwenu siku ya leo, nawapenda sana na hamniangushi kamwe. Amina...
#YANGA #
 
mnasaka huruma mmesahu ya TP Mazembe

Nawaonea huruma, wk ilopita tuliwapiga kimoja cha nguvu, na jana walikuwa wanatuombea njaa, ila yule yule terminator na ile style ya "ukipaki basi nawatungulia nje ya box" akafanya yake kama kawaida, sasa mtaani wamekuwa wanyonge sana, hivyo nataka watani wangu leo wafurahi kidogo kwenye ardhi ya nyumbani, najua wakienda zimbabwe ni el finito.
Ya mazembe naikumbuka vizuri sana.
 
ukweli ni kwamba viongozi wa yanga wanaendesha soka kizaman sana kwa kuzuia mechi zao nyingi kuoneshwa live kwenye tv kwa maslah yao wenyewe, nawashangaa sana mashabiki hasa wa mikoani kutokuhoji hilo kwani wanakosa uhondo na kubaki kwenye radio wakiambiwa lalalalalaaa! hatari paleeeeee wakt hata striker hajakaribia kwn 18
 
Umeongea jambo la maana sana,
Hili kweli ni tatizo.
 
Timu toka kwa Comrade Robert Gabriel Mugabe jitahidini msituangushe leo.
 
Kila la heri yanga. Nategemea wanazi wa yanga waliokimbia jukwaa leo watarejea.
 

hawazuu walishatangaza wanawakaribisha tv wazungumze jinsi ya malipo
 
mbona hayo mazungumzo mara nyingi huwa yanafeli? ukiona unaenda sokoni kuuza nyanya alafu zinaoza unarudi nazo nyumban bas ww una matatizo. tena afafhali nyanya kuliko mpira ambao unaexpire baada ya dk 90! tafakari
 

Na wewe okwi ndio changudoa gani asee?,,,leta data achana na huyo changudoa la kinondoni makaburini
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Platinum ya zimbabwe;
1. Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondan
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo Master"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima
SUB....
Deogratius Munishi
Rajabu Zahir
Hassan Dilunga
Kpah Sherman
Edward Charles
Jerryson Tegete.

Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans
 
kwa icho kikosi sitarajii ushindi, said makapu uwezo wake wa kawaida sana.
 
Hivi soka ni vita au burudani? jumapili tuli wapa vitu hawa ndugu zetu jana tumewakaribia kwa point leo nawapa sapoti kwa asilimia 200 utaifa kwanza utani wetu baadae tupeni vitu jangwani hayo mazimbabwe siyajui mie leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…