ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Vipi Danny Marwanda?
Vipi Danny Marwanda?
Karibu tena mkuu,Kufungwa kubaya jamani we acha tu toka tumefungwa na mtani nilipotea kwenye jukwaa hili kama nipo kifungoni.
Ila YANGA naombea leo msituangushe maana naweza likimbia jukwaa hili kwa muda mrefu.
Japo sipendi Yanga washinde lakini kwa hiki kikosi naona kwa mbali kuna ushindi. Mabeki wa kati wajitahidi tu kutoa back up inapotokea mabeki wa pembeni wamepanda hasa beki mbili huwa anapenda sana kupanda ingawa yeye huwa anajitahidi kurudi mapema wakati timu inashambuliwa, beki wa kushoto huwa ni mzito kidogo na kwa sababu hiyo kama atakuwa akipanda sana itabidi Kelvin na Twite wafanye kazi ya ziada kumpa cover up la sivyo kufikia saa 12 tutakuwa tunaongea mengine.Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Platinum ya zimbabwe;
1. Ally Mustapha Barthez
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Mbuyu Twite
5.Kelvin Yondan
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo Master"
9.Amiss Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima
SUB....
Deogratius Munishi
Rajabu Zahir
Hassan Dilunga
Kpah Sherman
Edward Charles
Jerryson Tegete.
Kila la kheir timu ya wananchi Dar Young Africans
Japo sipendi Yanga washinde lakini kwa hiki kikosi naona kwa mbali kuna ushindi. Mabeki wa kati wajitahidi tu kutoa back up inapotokea mabeki wa pembeni wamepanda hasa beki mbili huwa anapenda sana kupanda ingawa yeye huwa anajitahidi kurudi mapema wakati timu inashambuliwa, beki wa kushoto huwa ni mzito kidogo na kwa sababu hiyo kama atakuwa akipanda sana itabidi Kelvin na Twite wafanye kazi ya ziada kumpa cover up la sivyo kufikia saa 12 tutakuwa tunaongea mengine.
Ikitokea Makapu kazidiwa itabidi kocha aue winga moja na kubakia winga ya wizi wizi ili Niyonzima awe anacheza muda mwingi kati na Telela kuja kumlinda Makapu ili kuimarisha kiungo wakati timu inashambuliwa.
Pamoja na hayo bado sisi watu wa kwa Mugabe tunawatakia ushindi Platinum.
Karibu tena mkuu,
Leo yanga ushindi lazima.
Hahahaaa, mkuu tuko pamoja lakini sio vizuri kuwadhalilisha wazee wetu bwana.Yanga timu piga hao wazimbabwe tatu bila warudi kwa rais wao anayeanguka hovyo majukwaani