Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

hata uzalendo huna.

Mimi mwenyewe hapa naiombea Yanga ifungwe tu, kinyonga hawezi kuwa chui hata akikua namna gani.
Siku zote ushabiki wa mpira ni wa kinafiki tu. Nitaishangilia Yanga ikiwa kushinda kwake kutaifaidisha simba Moja kwa moja.
 
Nikajua TV station na mimi niitafute. Kwako wewe kila la heri vibaka wasije wakavuna vilivyo vyako na kila heri kwa Platinum.


Hakuna tv inayoonesha mkuu , sikiliza tu kwenye radio 95.7
 
Nikajua TV station na mimi niitafute. Kwako wewe kila la heri vibaka wasije wakavuna vilivyo vyako na kila heri kwa Platinum.

sawa mkuu..ingawa umemalza kwa dua la kuku, niwaonavyo hawa wazimbwabwe,wametulia hawana pupa
 
gooooooooooo naona yanga anapachikwa goli LA kwanza hapa....
 
Niyonzima alpga moja, akimchungulia kipa, bahati nzuri kwa Masuke mpira ukatoka kdgo tu!
 
Kila la kheir yanga afrika, piga hao wazimbabwe goli 2-0 zinatosha.
 
kwa kitendo cha kuzuia mpira usioneshwe na Azam Tv.Yanga wapigwe tu maana hatuna jinsi
 
Da! Tambwe aliunasa mpira,akampa ngasa,ngasa akatoag kwa msuva,msuva akapga ndan ya sita ngasa akapshana nao, niyonzma akawa offside! Jpo alshakosa
 
Niyonzima alpga moja, akimchungulia kipa, bahati nzuri kwa Masuke mpira ukatoka kdgo tu!
Ukiacha ushabiki Yanga mna wachezaji kama wanne wananikosha sana. Nadir Haroub, Haruna Hikizimana Niyonzima, Simon Msuva na Andre Coutinho. Kati ya hao wanne akikosa mmoja au wawili kwenye line up ya Yanga timu haiwezi kuwa nzuri kama wangekuwepo wote wanne.
 
Back
Top Bottom