ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Uwanjani au Tv station?
hata uzalendo huna.
Nikajua TV station na mimi niitafute. Kwako wewe kila la heri vibaka wasije wakavuna vilivyo vyako na kila heri kwa Platinum.Uwanjan a.k.a Taifani mkuu
Nikajua TV station na mimi niitafute. Kwako wewe kila la heri vibaka wasije wakavuna vilivyo vyako na kila heri kwa Platinum.
Asante mkuu.Hakuna tv inayoonesha mkuu , sikiliza tu kwenye radio 95.7
Nikajua TV station na mimi niitafute. Kwako wewe kila la heri vibaka wasije wakavuna vilivyo vyako na kila heri kwa Platinum.
Kila la kheri wana wa jangwani!!
Mkuu usifanye hivyo utauwa watu bure wakati magoli bado ni bila kwa bila.gooooooooooo naona yanga anapachikwa goli LA kwanza hapa....
gooooooooooo naona yanga anapachikwa goli LA kwanza hapa....
gooooooooooo naona yanga anapachikwa goli LA kwanza hapa....
Ukiacha ushabiki Yanga mna wachezaji kama wanne wananikosha sana. Nadir Haroub, Haruna Hikizimana Niyonzima, Simon Msuva na Andre Coutinho. Kati ya hao wanne akikosa mmoja au wawili kwenye line up ya Yanga timu haiwezi kuwa nzuri kama wangekuwepo wote wanne.Niyonzima alpga moja, akimchungulia kipa, bahati nzuri kwa Masuke mpira ukatoka kdgo tu!
kwa kitendo cha kuzuia mpira usioneshwe na Azam Tv.Yanga wapigwe tu maana hatuna jinsi