Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Inatakiwa wapigwe nyingi hawa wazimbabwe
 
leo mmepata vinonde wapigeni mabao hasa hawa wazimbabwe team yao mbovu sana kwa kweli. walikuja kutalii tu. hawa muwapige 10. na inawezekana kama mkitulia.
 
...lilikuwa shambulz la ghafla, tambwe almjarbu kipa, kipa akautema, niyonzima akaumalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…