Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

Mimi mwenyewe hapa naiombea Yanga ifungwe tu, kinyonga hawezi kuwa chui hata akikua namna gani.
Siku zote ushabiki wa mpira ni wa kinafiki tu. Nitaishangilia Yanga ikiwa kushinda kwake kutaifaidisha simba Moja kwa moja.

Upooooooo hapo eeeeh
 
Inaonekana hii timu dhaifu mno, .... pengine kuliko Wau-Salam ya South Sudan.
 
Makoye Matale niko kwenye Group moja la Whatsapp nimewapa historia ya Yanga kwa timumza Zimbambwe kuna jamaa mmoja akaja na hadithi mwisho wa siku kamuomba Adm amuondoe kwenye group baada yakuona amechemka.

Hao ni vijana wa miaka ya 90, hawajui lolote, tuendelee kuwaelimisha tu Mkuu WABHEJASANA.
 
Last edited by a moderator:
yanga msitake kutuudhi. sisi tumesahau tofaut zetu tumeamua kuja kuwashangilia mnafanya mambo ya ajabu team kama hii haipaswi kupata hata 0 wanatakiwa wapate negative 0 kabisa hawa wapigeni 10 leo kwa hilo moja lao. ni team mbovu sana hii huko kwao inashika nafasi ya nne wakati ninyi mnaongoza.

Borusia Dortmund kwenye ligi ya ujeruman ni wa 12 lakin UCL wanakipiga vizuri tu.
 
Borusia Dortmund kwenye ligi ya ujeruman ni wa 12 lakin UCL wanakipiga vizuri tu.

Ni kweli mkuu kitwala lakini Borusia siyo Yanga na Yanga sio Borusia, kwa sbb Yanga slogan yake ni mbele daima nyuma mwiko, ndiyo maana unaona kkwenye Ligi wako mbele na hapa sasa kwenye caf wako mbele pia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom