Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
- #21
Chapiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yanga mbiliiiiiiiiiiiii
Goli limefungwa na Mlingoti wa goli
Goli limefungwa na Mlingoti wa goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuweni serious kidogo basi wengine hatua access na info zaidi ya jukwaa hiliYanga moja mbao 00000000
Yanga 2 - 0 Mbao.kuweni serious kidogo basi wengine hatua access na info zaidi ya jukwaa hili
Bei gani kila baoYanga 2 - 0 Mbao.
Utapasuka kwa kusubiria Yanga afungweYanga mpeni kabisa kipa na refa hela zake,wakipigwa chini wawe na mtaji wa kuanzia maisha
Laki tano. Advance tumetoa laki tatu laki mbili game likiisha. Nadhani hapo umefurahi sasa.Bei gani kila bao
Nasikia mmefunga tena goli la bafuni,tabia mbaya hiyoLaki tano. Advance tumetoa laki tatu laki mbili game likiisha. Nadhani hapo umefurahi sasa.
Kweli rage hakukoseaga kuwaita lile jina
Tuko bafuni huku tumevaa taulo halafu mnainama inama mbele yetu unafikiri nini kitatokea. Lazima tuu tupige kagoli ka bafuniNasikia mmefunga tena goli la bafuni,tabia mbaya hiyo
inamajmn yanga nipen raha