lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Milioni 200. Kama ada ya Chirwa.Bei gani kila bao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni 200. Kama ada ya Chirwa.Bei gani kila bao
Tumeshawaingizia NMB kabisa tangu mwezi uliopita......Yanga mpeni kabisa kipa na refa hela zake,wakipigwa chini wawe na mtaji wa kuanzia maisha
Okey! Litoe hilo la Bafuni.... Tufanye Kafungwa bao 2 bila.Nasikia mmefunga tena goli la bafuni,tabia mbaya hiyo
Wale walicheza na wachezaji 4 wa kikosi cha pili cha Mbao FC. Sisi Tumecheza nao wakiwa full na wamelaka 3 mtungi...Yanga hii sifa sasa, wenzenu walifunga moja dakika ya 90 nyie daaaaah
Kuna mijitu humu wana miaka minne hawaujui ubingwa wa VPL, na bado wanataka kujilinganisha na Timu Bora Duniani timu ya Wananchi Yanga Africans
Kimya kimya tu.... Yuko pale kama mpangaji... Mwenye nyumba mda wwte anaingia..Yanga wanavyomfukuzia mnyama
Nini kinawafanya muwaze kuwa mtakuwa mabingwa ili hali Yanga wamenunua game zote za Ligi Kuu?Cha kufurahia ni nini wakati mechi inaanza mnajua matokeo,acheni maigizo ya kihindi
Mmeanza kuweweseka mapema mno mtani.Cha kufurahia ni nini wakati mechi inaanza mnajua matokeo,acheni maigizo ya kihindi
Majimaji FC shikamoo!!!!!Hakuna cha Mbao wala kuni, tunapigaga. Yanga mnajua kutupa raha siye. Ni mwendo wa 6,4,3 hahahahaaaa... Tunagawa dozi taratibuuuuuu...
#teamyangaforever#
Unafuatiliaga boli [emoji125] [emoji125] [emoji125]Majimaji FC shikamoo!!!!!
Kidogo kidogo Daby!!!Unafuatiliaga boli [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Maliza kufuatilia..utakuja unisimulieKidogo kidogo Daby!!!
Simba inanitia kidogo joto.
Hahaaaa, haya buana!!!!!Maliza kufuatilia..utakuja unisimulie
Haya nakusubiriaHahaaaa, haya buana!!!!!
Wale walicheza na wachezaji 4 wa kikosi cha pili cha Mbao FC. Sisi Tumecheza nao wakiwa full na wamelaka 3 mtungi...
uwe unanistuaga bossHawa wood leo lazima tuwatie misumari
Kila bao ilikua 3000,ila nasikia sa ivi maeneo ya msimbazi hata ukiwa na buku 2 unapewa mzigoBei gani kila bao