Yaliyojiri: Yanga vs Mbao FC

Wale walicheza na wachezaji 4 wa kikosi cha pili cha Mbao FC. Sisi Tumecheza nao wakiwa full na wamelaka 3 mtungi...

Nauliza tu jamani, hivi Mbao FC nao (kwa kushawishiwa na mikia FC) watawafungia baadhi ya wachezaji wao kutokana na kipigo cha 3-0??????????????????
 
Hawa vijana walidhani leo tena wamakutana na vichaa,sasa tunataka twende mbea tukachukue point zetu 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…