Yaliyojiri: Yanga vs Mbao FC

Hawa ubao walifikia hoteli gan pale maeneo ya jangwan
 
Sawa wazee wa kununua magoli machache. Mnanunua kagoli kamoja kwa Mbao tena kagoli ka jioni. Sisi leo tumenunua matatu kuwaonyesha kuwa ni bora zaidi yenu

Vipi Kuhusu Ndanda FC si ulikuwa umpige Sita uoneshe Kama Mkodisho FC ni bora Kuliko Simba aliyewapiga Tatu??
 
Vipi Kuhusu Ndanda FC si ulikuwa umpige Sita uoneshe Kama Mkodisho FC ni bora Kuliko Simba aliyewapiga Tatu??

Ndio Maana TFF wakaweka game kuwa ni Home and Away. Tulimkosa kwake Njoo Tarehe 7 January 2017 shamba la bibi uone hybrid ya Barcelona na Bayern Munich ambayo Tanzania inaitwa Yanga itakavyofanya Maajabu.

Kuhusu Bora nani kati ya simba na Yanga Mkuu usibishe ukweli unaujua. kwa mziki wetu hadi Magufuli kaamua atuletee Bombadier ili tusipate shida safari za anga.

Hawa Wood jana Wamekula tatu za bariiiiiiiidi, sio nyinyi mlihangaika nao mpaka refa akawaonea huruma akawapa ka goli ka dakika za majeruhi.
 
Nyie Chaneta FC huyo Ramadhan Kessy Mutajuta Kumchezesha hata Kama Mwigulu amewatuma Mumchezeshe...
Na Kama Hamuamini Basi Subirini...
 
mwenyew hapo umejiona mjanja...mafuta kweli wewe!
Malizia kwa kusema chefuuuuuu kama yule mwanaume mwenzenu wa Dar.
i wrote "inama" kutokana na uandishi wako wa ki.sho.ga eti 'nipeni raha'...
 
Nyie Chaneta FC huyo Ramadhan Kessy Mutajuta Kumchezesha hata Kama Mwigulu amewatuma Mumchezeshe...
Na Kama Hamuamini Basi Subirini...
Hela ya kujengea uwanja mnaitka kupitia mgongo wa Kessy?
Hakuna mwenye jeuri ya kuipoka point Yanga mechi alizocheza Kessy. Sheria ile ile iliyomruhusu Okwi asiue kipaji ndiyo inamfanya Kessy acheze bila ajizi
 
K
Nyie Chaneta FC huyo Ramadhan Kessy Mutajuta Kumchezesha hata Kama Mwigulu amewatuma Mumchezeshe...
Na Kama Hamuamini Basi Subirini...
kwani Ana mkataba na simba?mbona hamkuweka pingamizi?kanuni hazipo hivyo.... Nikupe hapo mfano mbona Joel matip alisain Liverpool akiwa na mkataba na shalke04,kanuni za FIFA zinaruhusu mchezaji akibakisha miezi sits kufanya mazungumzo na timu nyingine.ndo maana yule raid wenu aliwaita mbumbumbu
 
Hela ya kujengea uwanja mnaitka kupitia mgongo wa Kessy?
Hakuna mwenye jeuri ya kuipoka point Yanga mechi alizocheza Kessy. Sheria ile ile iliyomruhusu Okwi asiue kipaji ndiyo inamfanya Kessy acheze bila ajizi

↑↑Aftet Few Days Musije Mukakimbia! Muje Humu JF mutupe Mrejesho Kuhusu Ramadhan Kessy↓↓

↑↑Aftet Few Days Musije Mukakimbia! Muje Humu JF mutupe Mrejesho Kuhusu Ramadhan Kessy↓↓
Mkuu, huyo Salehe mzushi sana. Alifanya watu wengi kuamini Rage kala hela za uhamisho wa Okwi. Baadaye wote tumeona haikuwa kweli.
Kama source ni huyo jamaa, hamna kitu humo. Anauza tu gazeti la Champion na kutangaza blog yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…