cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 820
Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani.
Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada, akifanya haya yote tunayoyashuhudia tulimuona kama mnyama asiyekuwa na utu hata kidogo lakini leo hii tunayashuhudia yakifanywa ndani ya inchi yetu tena kweupe na hakuna anayekamatwa wala aliyewahi kukamatwa
Niseme kwamba hakuna utawala uliyoyatenda haya na ukadumu madarakani ni suala la muda tu, sababu watu wengi hawapendezwi hata kama wahanga wakubwa ni wa vyama vya upinzani hata CCM wenyewe wengi hawapendi maana sisi sote ni ndugu tofauti zetu za kisiasa zisitufanye tufikie huku tuliko