Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Kuna yule msaidiz wa Idd amini nimesahau jina, nikama huyu bashite huku, alikua hatari inasemekana hata idd amini alikua anamhofia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yule msaidiz wa Idd amini nimesahau jina, nikama huyu bashite huku, alikua hatari inasemekana hata idd amini alikua anamhofia
liko wazi hiliKawaida mkiwa na kiongozi mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri na kutenda, haya huwa hayaepukiki. Idd Amin alikuwa mjinga sana na sasa tunaye Amin wa kike kwetu
Mambo yako hivi hivi, hata hapa Uganda wananchi walikuwa wanamshangilia na kumuona mwokoziHalafu sisi tunayaona ya kawaida kabsaa.
Siku zote iko hivyoIla mwisho wa hawa viongozi watesaji huwa mbaya sana