Yaliyomkuta Abdul Jumbe yatamkuta Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Mh Othman ?

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Ilikuwa "April 1972" Mh: Alhaji Aboud Jumbe Mwinyi alipotwaa madaraka ya Zanzibar na kuwa Rais wa awamu ya pili wa serikali ya SMZ mara baada ya Mh: Abeid Aman Karume kuuwawa, Septembar 5, 1975 Mwalimu Nyerere akiwa kama Mwenyekiti wa Tanu na Rais wa Tanganyika aliwasilisha wazo kwenye kamati kuu ya "TANU" juu ya kuunganisha chama cha "TANU" na "ASP" suala lilijadiliwa na hatimae "OCTOBER 1976" "ASP" na "TANU" zilifikia muafakha juu ya kuungana na kuzalisha chama cha "CCM" ambacho uzinduzi wake ulikiwa Tarehe 5/2/1977, Mwendendo wa Aboud na Nyerere kwa wakati huu ulikuwa mzuri japo Aboud Jumbe alijisahau sana juu ya Taifa lake la Zanzibar lakini yote haya yalisababishwa na tamaa ya madaraka! Kwan alitamani awe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Aboud jumbe safar yake ilianza kuwa mashakhani pale tu mara baada ya ujio wa "Edward Sokoine" ndipo alipo amua kuanza kudili na Taifa lake la Zanzibar kwa kuangalia maslahi ya Zanzibar na watu wake na kuona kuwa swala la Muungano limekaa vibaya na kuanda taarifa mbalimbali ili awasilishe mahakamani, Bila shakha wana jamvi mutakuwa munakumbuka nn kilimkuta Rais huyu wa Zanzibar Shekhe Aboud Jumbe Mwinyi kwani alipigwa kibuti na CCM mnamo mwaka 1984 kwa kisingizio cha kuvunja katiba hivo kupoteza nafasi zake zote alizokawa nazo yaani Rais wa Zanzibar, Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia na makamo mwenyekiti wa "CCM" japo nchi yake ilikuwa na katiba……!

Mwanasheria mkuu wa zanzibar (Mh: Othman Masoud Othman) ikumbukwe alijiulu katika kamati ya uandishi wa katiba pale BMK, Mwanasheria huyu huyu hakuonekana siku nyingi katika mara baada ya kujiuzulu pale kwenye kamati ya uandishi japo kwa upande wa "CCM" hawakuona kama ni tatizo kuto kuwepo kwake, wachambuzi wa masuala ya siasa hawakupenda juu ya kuendelea mchakato wa katiba huku kukiwa na makundi makubwa yanayo pingana juu ya namna ya kuandika katiba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa wa "JUKATA" akihojiwa katika kipindi cha HOT MIX kinachoenda heweni chanel 5 alidokeza juu ya kile kilichomtoa mwanasheria huyu wa SMZ katika kamati ya undishi kuwa ni "kulingana na mjadala unavyoendelea BMK haoni maslahi ya Zanzibar ili katika Rasimu ya Tume ya mabadiliko ya katiba maslahi ya Zanzibar yalikuwepo kwa 100%" , ikiyaeleza haya makamo huyo wa mwenyekiti alisema kuwa yeye alipata nakala ya barua ya kujiengua ktk kamati hiyo ya uandishi, cha kushangaza ni leo mwanasheria huyu wa SMZ alipokuja BMK na kupiga kura ya HAPANA katika ibara na sura zote ambazo hakuzihafikhi…!!! Na kura ya NDIO kwa ibara ambazo hakuwa na tatizo nazo…!

Ya moyoni mwanangu;- Mwanasheria huyu hata undiwa zengwe kama alivyofanyiwa mzee Aboud Jumbe Mwinyi…??

Je kweli Mwanasheria huyu halifanya haya bila kumshirikisha Rasi wa SMZ…??

Je kuundwa kwa kamati ya mashauliano pale BMK jana alishajua wajumbe waliopiga kura hapana watarubuniwa na kubadiri misimamo yao na yeye akaamua kujitosa ili waone kama wako pamoja na yeye na kuwapa nguvu ya kusimamia yale wanayo yaamini…???

Je mwanasheria kashaona kuwa sasa si wakati wa kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru…???

katika haya kuna moja au mawili lazima mwanasheria huyu aliyaona…………!!

Inauma historia ya muungano huu pale utaposoma kitabu cha kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru……!
 
Ilikuwa "April 1972" Mh: Alhaji Abdul Jumbe Mwinyi alipotwaa madaraka ya Zanzibar na kuwa Rais wa awamu ya pili wa serikali ya SMZ mara baada ya Mh: Abeid Aman Karume kuuwawa, Septembar 5, 1975 Mwalimu Nyerere akiwa kama Mwenyekiti wa Tanu na Rais wa Tanganyika aliwasilisha wazo kwenye kamati kuu ya "TANU" juu ya kuunganisha chama cha "TANU" na "ASP" suala lilijadiliwa na hatimae "OCTOBER 1976" "ASP" na "TANU" zilifikia muafakha juu ya kuungana na kuzalisha chama cha "CCM" ambacho uzinduzi wake ulikiwa Tarehe 5/2/1977, Mwendendo wa Abdul na Nyerere kwa wakati huu ulikuwa mzuri japo Abdul Jumbe alijisahau sana juu ya Taifa lake la Zanzibar lakini yote haya yalisababishwa na tamaa ya madaraka! Kwan alitamani awe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Abdul jumbe safar yake ilianza kuwa mashakhani pale tu mara baada ya ujio wa "Edward Sokoine" ndipo alipo amua kuanza kudili na Taifa lake la Zanzibar kwa kuangalia maslahi ya Zanzibar na watu wake na kuona kuwa swala la Muungano limekaa vibaya na kuanda taarifa mbalimbali ili awasilishe mahakamani, Bila shakha wana jamvi mutakuwa munakumbuka nn kilimkuta Rais huyu wa Zanzibar Shekhe Abdul Jumbe Mwinyi kwani alipigwa kibuti na CCM mnamo mwaka 1984 kwa kisingizio cha kuvunja katiba hivo kupoteza nafasi zake zote alizokawa nazo yaani Rais wa Zanzibar, Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia na makamo mwenyekiti wa "CCM" japo nchi yake ilikuwa na katiba……!

Mwanasheria mkuu wa zanzibar (Mh: Othman Masoud Othman) ikumbukwe alijiulu katika kamati ya uandishi wa katiba pale BMK, Mwanasheria huyu huyu hakuonekana siku nyingi katika mara baada ya kujiuzulu pale kwenye kamati ya uandishi japo kwa upande wa "CCM" hawakuona kama ni tatizo kuto kuwepo kwake, wachambuzi wa masuala ya siasa hawakupenda juu ya kuendelea mchakato wa katiba huku kukiwa na makundi makubwa yanayo pingana juu ya namna ya kuandika katiba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa wa "JUKATA" akihojiwa katika kipindi cha HOT MIX kinachoenda heweni chanel 5 alidokeza juu ya kile kilichomtoa mwanasheria huyu wa SMZ katika kamati ya undishi kuwa ni "kulingana na mjadala unavyoendelea BMK haoni maslahi ya Zanzibar ili katika Rasimu ya Tume ya mabadiliko ya katiba maslahi ya Zanzibar yalikuwepo kwa 100%" , ikiyaeleza haya makamo huyo wa mwenyekiti alisema kuwa yeye alipata nakala ya barua ya kujiengua ktk kamati hiyo ya uandishi, cha kushangaza ni leo mwanasheria huyu wa SMZ alipokuja BMK na kupiga kura ya HAPANA katika ibara na sura zote ambazo hakuzihafikhi…!!! Na kura ya NDIO kwa ibara ambazo hakuwa na tatizo nazo…!

Ya moyoni mwanangu;- Mwanasheria huyu hata undiwa zengwe kama alivyofanyiwa mzee Abdul Jumbe Mwinyi…??

Je kweli Mwanasheria huyu halifanya haya bila kumshirikisha Rasi wa SMZ…??

Je kuundwa kwa kamati ya mashauliano pale BMK jana alishajua wajumbe waliopiga kura hapana watarubuniwa na kubadiri misimamo yao na yeye akaamua kujitosa ili waone kama wako pamoja na yeye na kuwapa nguvu ya kusimamia yale wanayo yaamini…???

katika haya kuna moja au mawili lazima mwanasheria huyu aliyaona…………!!

Humu JF umejiunga lini ? mbona una thread laini na nyanya sana ?
 
bora punda afe mzigo ufike
 
Sijawahi kusikia Zanzibar imeshawahi kuwa na raisi anaitwa Abdul Jumbe,,namkumbuka Aboud Jumbe Mwinyi,mmmmh labda walikuwa wana undugu
 
Watafukuza wangapi..walifanya kwa himid wakajua kazi imeisha..kumbe ndo bado mbichi
 
Yuko wapi Othman Masoud , Mwanasheria Mkuu wa znz ? Maana hata Jumbe alitolewa kwa hoja ya usalama wake hadi leo yuko kizuizini analindwa ....
 
Huyu mwanasheria ni mbmumbumbu sijawahi kuona, NAKUMBUKA THE ORIGINAL COMEDY walipokwenda Zanzibar walikuwakuta wakazi wengine kule ni "MNDEMBWEDO" huyu mwanasheria atakuwa mmoja wao
 
Nime kumbuka wimbo, kikulacho kumbe kinguoni mwako, rafiki yako kumbe......

Hapo tu kwenye timing ya kupiga kura ya huyu Ag wa zenji bado kumeniacha na maswali kibao.

Lakini ndani ya muungano, wale wenye jukumu la kutuongoza hasa wa bmk kumbukeni znz ina sirikali yake, rais wake, na ni nchi. Zama za mzengwe zilishapita. Hilo tu basi.
 
Huyu mwanasheria ni mbmumbumbu sijawahi kuona, NAKUMBUKA THE ORIGINAL COMEDY walipokwenda Zanzibar walikuwakuta wakazi wengine kule ni "MNDEMBWEDO" huyu mwanasheria atakuwa mmoja wao

inawezekana wewe ni mbumbu unae jali chama kwa manufaa ya tumbo lako badala maendeleo ya nchi, fahamu kila jambo na wakati wake.
 
Huyu mwanasheria ni mbmumbumbu sijawahi kuona, NAKUMBUKA THE ORIGINAL COMEDY walipokwenda Zanzibar walikuwakuta wakazi wengine kule ni "MNDEMBWEDO" huyu mwanasheria atakuwa mmoja wao

Wewe kwako asiye mbumbumbu ni mtu wa aina gani?unataka kila mtu afuate matakwa ya ccm kama wewe?akiwa kinyume tu ni mbumbumbu,bila huyo mwanasheria ni kichwa kuliko wewe.,wewe ni jinga sana,kichwa chako kinaendeshwa na miccm tu,fumbuka ndugu tupiganie hii nchi kama huyu mwanasheria anavyoipigania znz.
Mwenye akili yeyote katika nchi hii hawezi kamwe kuishabikia ccm,ccm ni upuuzi,mshabiki wa ccm atakuwa mpuuzi.
 
Hawa ndo wanasheria wanaoitendea haki fani yao na taifa lao, sio kina werema muda wote kulamba viatu vya wanaccm hata kama ni pumba!
 
watauwa wangapi ccm walivyo wanafiki MUNGU atazidi kuwaumbua daima
 
Back
Top Bottom