Yaliyomkuta Abdul Jumbe yatamkuta Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Mh Othman ?

Yaliyomkuta Abdul Jumbe yatamkuta Mwanasheria mkuu wa Zanzibar Mh Othman ?

Eti kapewa ulinzi kama ilivyo kawaida kwa BMK kufanya hivyo kwa mjumbe yeyote...well

Ok. Taarifa za habari (though shallowly) zimeonesha na kusema aliondoka na gari ya Serikali ya Mapinduzi, well...why not on his own car!?!?

Ok...well mbona BMK haikuwakikishia ulinzi wale waliotoa malalamiko yao jana kuwa wametishiwa maisha Kwa sababu ya kupiga kura za HAPANA.

Well...kwa hiyo CCM kupitia tamko lao wamethibitisha kuwa hata wale waliopiga kura za HAPANA walitishiwa na wale wale waliomtishia na kumghashi AG wa Zanzibar kiasi cha kumpatia ulinzi...

Well...CCM na mawakala wao wamesaidia kuongeza dots...asanteni.

Endeleeni kujifunga kwenye gunia hilo lenu. Mmegeuka kuwa MBUNI wa hadithi...

Mnatukumbusha Hadithi za Machimbo ya Mfalme Suleiman...tunasubiri huo mwezi...

Mkuu Bado mnatunga story?
 
Mwaka huu mtatunga hadi vidole vitapinda!
Mmetunga asubuhi kupitia Haki sawa kuwa mwanasheria katekwa na usalama wa taifa mkaumbuka!
Mmetunga kupitia Mohamedi Mtoi Sitta kaandika vimemo kumbe mmevitengeneza na mkashindwa kuvifananisha nenda kaangalie mwenzio alivyo umbuka!

Wewe umekuja na stori hizi na sito shangaa mkimteka halafu mkasingizi CCM!

Hivi maandano ya nchi nzima yamekwisha?
Kinacho wafanya muwewe seke ninni wakati mnauhakika kuwa rasimu itakataliwa?

Maneno meeeeengi ya nini! Huu u-MC unatoka wapi kwenye thread inayohoji 'uhai' wa the number one in the SMZ when it comes to anything to do with legal matters!

Ooh Othman Masoud...that was one of the heroic moments in the struggle against the establishment.
Ruttashobolwa

Kwani Kwa kusema HAPANA Othman Masoud aliwaudhi na kuwakera kitu gani hasa hadi mkaamua kumpatia ulinzi ambao mmelazimika kuutolea maelezo!

Wananchi will pity the party which 'pits' them if I were to borrow some poetry words from Chachage Junior
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa CDM bhana wamesahu LEMA alifanya uhuni wa kutaka kumpiga tofari MWIGAMBA na Mbowe akiwa anaangalia tu,kisa kuwa tofauti kimawazo,leo ndo wakosoaji wakubwa:wacko:
 
Nilimsikia mbunge mmoja wa sikonge anasema mwanasheria mkuu kupiga kuraya HAPANA ni Uhaini
 
Sitta na CCM watatuambia sisi wazanzibar wapi wamempeleka Othman Masoud na nini wamemfanya ikiwa atadhurika kwa chochote. Hatutaki tena Zanzibar yetu kuwa kijiji cha Tanganyika kwa mwamvuli wa Tanzania.
 
MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR kitendo cha kupiga kura ya hapana ni taarifa kuonesha msimamo wa serikali ya upande wa pili, japo tulio wavivu wa kufikiri tutasema ni msimamo wake binafsi, na asubuhi niliandika humu jf kuletwa kwake chini ya ulinzi mkali, yaweza kuwa yu kizuizini bila kujijua!

inawekana ni kweli labda wameishamuweka kizuizini maana nchi hii ukiwa msema kweli tu mtetezi wa watu na mpigania haki wa watu unakuwa ni mbaya kwao.
 
Mimi ndiyo maana hiki chama cha chadema sikipendi na kamwe sitaki kukisikia kabisa, wamekaa kichonganishi tu na uongo na vurugu kama wachawi wa amani mtu anapewa ulinzi eti ametekwa.
Kama hujui si unauliza kuliko kuonekana muongo mtu mzima chama kikubwa hakina vyombo na chanzo cha habari kimekaa ki udaku udaku tu ngoja 2015 ifike kife tupumzike na kelele za maandamano.
 
ni protocal ya kawaida kuondolewa ukumbini kwa usalama wake kwa kuwa hali ya hewa ilichafuka na wazanzibar waliopo bungeni walitaka kumshughulikia kwa kuwasaliti kwa kuwa kama mwanasheria mkuu aliapa kuilinda na kuitumikia katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kinyume na hapo ilipaswa ajiuzulu wadhfa wake ndo asimame yeye kama yeye na si kama mwanasheria mkuu
 
Eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2 .-(1) Eneo la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ni:
(a) eneo lote la Tanzania Bara, ikiwa ni pamoja
na eneo lake la bahari
ambalo kabla ya Muungano lilikuwa likiitwa
Jamhuri ya Tanganyika
pamoja na maeneo mengine yatakayoongezeka;
na
(b) eneo lote la Zanzibar, ikiwa ni pamoja na eneo
lake la bahari ambalo
kabla ya Muungano lilikuwa likiitwa Jamhuri ya
Watu wa Zanzibar
pamoja na maeneo mengine yatakayoongezeka.
(2) Rais wa Jamhuri ya Muungano atakuwa na
mamlaka ya kuigawa
Jamhuri ya Muungano katika mikoa, wilaya na
maeneo mengine na kwa upande
wa Zanzibar, Rais anaweza kukasimu mamlaka
hayo kwa Rais wa Zanzibar.
(3) Kwa madhumuni ya ibara ndogo ya (1),
Bunge litatunga sheria
itakayoainisha na kufafanua mipaka ya eneo la
Jamhuri ya Muungano.
9 .-(1) Katiba hii ni sheria kuu katika Jamhuri ya
Muungano kwa mujibu
wa masharti yaliyowekwa na Katiba hii.
(2) Kwa madhumuni ya ibara ndogo ya (1),
endapo masharti ya sheria
yoyote itakayotungwa na vyombo vyenye
mamlaka ya kutunga sharia yatatofautiana na
masharti ya Katiba hii, masharti ya sheria hiyo
yatakuwa batili
na yatatenguka kwa kiwango kile
kinachotofautiana na masharti ya Katiba hii.
(3) Mtu yeyote, chombo au taasisi ya Serikali,
jumuiya, wakala yeyote
na mamlaka binafsi zitakuwa na wajibu wa
kuzingatia na kutii masharti ya
Katiba hii na sheria za nchi.
(4) Sheria yoyote, mila, desturi au uamuzi wowote
wa chombo cha dola
au ofisa wa Serikali ni sharti ufuate na kuzingatia
masharti yaliyomo kwenye
Katiba hii na kwamba sheria, mila, desturi au
uamuzi wowote ambao
hautawiana au kwenda sambamba na masharti
ya Katiba hii utakuwa batili.
(5) Serikali itaweka utaratibu wa kuwawezesha
wananchi kuifahamu, kuilinda na kuitii Katiba hii.
86 .-(1) Katika uchaguzi wa Rais kila chama cha
siasa
kitakachotaka kushiriki katika uchaguzi wa Rais,
kitawasilisha kwa Tume
Huru ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano, kwa
mujibu wa sheria, jina la
mwanachama mmoja anayependekezwa kwa
nafasi ya madaraka ya Rais.
(2) Endapo ni mgombea huru, kwa kuzingatia sifa
zitakazoainishwa
katika sheria itakayotungwa na Bunge
atawasilisha jina lake kwenye Tume Huru
ya Uchaguzi.
(3) Mapendekezo ya majina ya wagombea katika
uchaguzi wa Rais
yatawasilishwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi
katika siku na kwa utaratibu
utakaoainishwa katika sheria.
(4) Endapo itafika siku na saa iliyotajwa kwa ajili
ya
kuwasilisha mapendekezo ya majina ya
wagombea, ni mgombea mmoja tu
ambaye anapendekezwa kuwa halali, Tume Huru
ya Uchaguzi itawasilisha jina
lake kwa wananchi, nao watapiga kura ya
kumkubali au kumkataa
kwa mujibu wa masharti yaliyoainishwa katika
Katiba hii na sheria.
(5) Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
utafanyika siku
itakayoteuliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa
mujibu wa sheria.
(6) Mgombea wa nafasi ya madaraka ya Rais
atatangazwa kuwa
amechaguliwa kuwa Rais iwapo atapata kura
zaidi ya asilimia hamsini ya
kura zote halali zilizopigwa kwa nafasi ya
madaraka ya Rais.
(7) Endapo katika uchaguzi wa Rais hakuna
mgombea
aliyekidhi masharti ya ibara ndogo ya (6), basi
uchaguzi utarudiwa ndani
ya siku sitini kwa wagombea walioshika nafasi ya
kwanza na ya pili na
mgombea atakayepata kura zaidi ya asilimia
hamsini atatangazwa kuwa
mshindi wa nafasi ya urais.
(8) Mambo mengine yote yahusuyo utaratibu wa
uchaguzi wa Rais
yatakuwa kama itakavyofafanuliwa katika sheria
itakayotungwa na Bunge kwa
ajili hiyo.
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa
na muundo wa Serikali
mbili ambazo ni:
(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano; na
(b) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Utekelezaji wa shughuli za Mamlaka ya Nchi
71 .-(1) Shughuli zote za Mamlaka ya Nchi katika
Jamhuri ya Muungano
zitatekelezwa na kudhibitiwa na vyombo viwili
vyenye mamlaka ya utendaji,
vyombo viwili vyenye mamlaka ya utoaji haki, na
pia vyombo viwili vyenye
mamlaka ya kutunga sheria na kusimamia
utekelezaji wa shughuli za umma.
(2) Vyombo vyenye mamlaka ya utendaji
vitakuwa ni Serikali ya
Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar; vyombo vyenye
mamlaka ya utoaji haki vitakuwa ni Mahakama
ya Jamhuri ya Muungano na
Mahakama Kuu ya Zanzibar, na vyombo vyenye
mamlaka ya kutunga sheria na
kusimamia utekelezaji wa shughuli za umma
vitakuwa ni Bunge na Baraza la
Wawakilishi.
(3) Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za
umma katika Jamhuri
ya Muungano, na kwa ajili ya mgawanyo wa
madaraka juu ya shughuli hizo
baina ya vyombo vilivyotajwa katika Ibara hii,
kutakuwa na Mambo ya
Muungano kama yalivyoorodheshwa katika
Nyongeza ya Kwanza ya Katiba hii
na pia kutakuwa na mambo yasiyo ya Muungano,
ambayo ni mambo mengine
yote yasiyo ya Muungano.
(4) Kila chombo kilichotajwa katika Ibara hii
kitaundwa na kutekeleza
majukumu yake kwa kufuata masharti mengine
yaliyomo katika Katiba hii.
Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano
2. Serikali ya Jamhuri ya Muungano itakuwa
na mamlaka ya utekelezaji
katika Jamhuri ya Muungano kwa Mambo ya
Muungano na kwa mambo yote
yasiyo ya Muungano yanayohusu Tanzania Bara.
Mamlaka ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
kwa mambo yasiyo ya Muungano
73 .-(1) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa
na mamlaka na haki
juu ya mambo yasiyo ya Muungano yanayohusu
Zanzibar.
(2) Bila kuathiri mipaka iliyowekwa na Katiba hii,
katika kutekeleza
mamlaka yake chini ya ibara ndogo ya (1),
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakuwa na uwezo na uhuru wa kuanzisha
uhusiano au ushirikiano na jumuiya au
taasisi yoyote ya kikanda au kimataifa.
(3) Endapo, katika kutekeleza mamlaka na
majukumu yake kwa mujibu
wa Ibara hii, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
itahitaji kupata ushirikiano
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili
ya kufanikisha uhusiano au
ushirikiano na jumuiya au taasisi ya kikanda au
kimataifa, Serikali ya Jamhuri
ya Muungano yaweza kufanikisha uhusiano au
ushirikiano huo kwa kuzingatia
masharti ya Katiba hii na sheria itakayotungwa
na Bunge.
(4) Kwa madhumuni ya Ibara hii, Bunge litatunga
sheria itakayoainisha
na kufafanua:
(a) majukumu na mipaka ya utekelezaji wa
mamlaka ya Serikali ya
Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar kuhusu
uhusiano au ushirikiano wa kikanda au kimataifa;
(b) utaratibu wa kushughulikia athari
zinazotokana na uhusiano au ushirikiano wa
kikanda au kimataifa;
(c) utaratibu wa utafutaji na upatikanaji wa
mikopo na misaada
kutokana na uhusiano au ushirikano huo;
(d) utaratibu au masharti ya kuvunja au
kuimarisha uhusiano au
ushirikiano huo;
(e) utaratibu wa mawasiliano na mashauriano
kati ya Serikali ya
Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar kuhusu
uhusiano au ushirikiano wa kikanda au kimataifa;
(f) utaratibu wa utekelezaji wa masharti ya Ibara
hii; na
(g) mambo mengine yatakayohusu uhusiano au
ushirikiano wa kikanda
au kimataifa chini ya Ibara hii.
Mahusiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya
Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
74. -(1) Katika kutekeleza majukumu yake katika
maeneo mbalimbali,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
itazingatia misingi ya
kushirikiana na kushauriana na Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwa lengo la
kukuza na kulinda maslahi ya Taifa na maendeleo
ya wananchi.
(2) Kwa madhumuni ya kukuza umoja na
uhusiano, Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya
Muungano, zinaweza
kushauriana na kushirikiana katika mambo
yanayohusu uongozi, utawala,
vyombo vya uwakilishi na mahakama.
(3) Utendaji wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,
Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar au chombo chochote cha
Serikali hizo utatekelezwa kwa
kuzingatia umoja wa Jamhuri ya Muungano na
wajibu wa kukuza utaifa.
(4) Bila kuathiri masharti ya Ibara hii, Serikali ya
Jamhuri ya Muungano,
kwa makubaliano maalum baina yake na Serikali
ya Mapinduzi ya Zanzibar,
inaweza kutekeleza jambo lolote lililo chini ya
mamlaka ya Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar kwa mujibu wa
makubaliano hayo.
Wajibu wa viongozi wakuu kulinda Muungano
75 .-(1) Bila kuathiri wajibu wa kila raia uliotajwa
katika Katiba hii, kila
kiongozi mkuu mwenye mamlaka ya utendaji
katika Jamhuri ya Muungano
aliyetajwa katika ibara ndogo ya (3) atakuwa na
wajibu, katika kutekeleza
madaraka aliyopewa kwa mujibu wa Katiba hii,
kuhakikisha kuwa anatetea,
analinda, anaimarisha na kudumisha umoja wa
Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
(2) Kwa madhumuni ya masharti ya ibara ndogo
ya (1) kila kiongozi
mkuu aliyetajwa katika ibara ndogo ya (3), kabla
ya kushika madaraka yake,
ataapa kuutetea, kuulinda na kuudumisha
Muungano kwa mujibu wa Katiba hii.
(3) Viongozi wakuu wanaohusika na masharti ya
Ibara hii ni:
(a) Rais wa Jamhuri ya Muungano;
(b) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano;
(c) Rais wa Zanzibar;
(d) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano; na
(e) Makamu wa Rais wa Zanzibar.
Madaraka ya kutunga Sheria
128 .-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya
mambo mengine yote
yahusuyo Tanzania Bara, yatakuwa mikononi
mwa Bunge.
(2) Mamlaka yoyote ya kutunga sheria katika
Zanzibar juu ya mambo
yote yasiyo ya Muungano yatakuwa mikononi
mwa Baraza la Wawakilishi.
(3) Endapo sheria yoyote iliyotungwa na Baraza la
Wawakilishi inahusu
jambo lolote katika Zanzibar ambalo liko chini ya
mamlaka ya Bunge, sheria hiyo
itakuwa batili na itatanguka na pia endapo sheria
yoyote iliyotungwa na Bunge
inahusu jambo lolote ambalo liko chini ya
mamlaka ya Baraza la Wawakilishi,
sheria hiyo itakuwa batili na itatanguka.
(4) Sheria yoyote iliyotungwa na Bunge kuhusu
jambo lolote haitatumika
Zanzibar isipokuwa kwa mujibu wa masharti
yafuatayo:
(a) Sheria hiyo iwe imetamka wazi kwamba
itatumika Tanzania Bara na
vilevile Zanzibar au iwe inabadilisha, kurekebisha
au kufuta sheria
inayotumika Zanzibar;
(b) Sheria hiyo iwe inabadilisha au kurekebisha au
kufuta sheria
iliyokuwa inatumika tangu zamani Tanzania Bara
ambayo ilikuwa
inatumika pia Zanzibar kwa mujibu wa Mapatano
ya Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar, ya mwaka 1964, au kwa
mujibu wa sheria
yoyote ambayo ilitamka wazi kwamba itatumika
Tanzania Bara na
vilevile Zanzibar; au
(c) Sheria hiyo iwe inahusu Mambo ya Muungano,
na kila inapotajwa
Tanzania katika Sheria yoyote ifahamike kuwa
sheria hiyo itatumika
katika Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa
ufafanuzi uliotolewa na
masharti ya Ibara hii.
5) Bila kuathiri kutumika kwa Katiba ya Zanzibar
kwa mujibu wa Katiba
hii kuhusu mambo yote ya Zanzibar yasiyo
Mambo ya Muungano, Katiba hii
itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima
ya Muungano na endapo sheria
nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika
Katiba hii, Katiba ndiyo
itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa
kiasi inachokiuka Katiba,
itakuwa batili.
Utaratibu wa
kubadilisha Katiba
129 .-(1) Bunge linaweza kutunga sheria kwa ajili
ya kubadilisha masharti
yoyote ya Katiba hii kwa kufuata kanuni
zifuatazo:
(a) Muswada wa sheria kwa ajili ya kubadilisha
masharti ya Katiba hii au
masharti yoyote ya sheria yanayohusu jambo
lolote isipokuwa mambo
yanayohusu aya ya (b) au (c), utapitishwa kwa
kuungwa mkono kwa
wingi wa kura za Wabunge wote;
(b) Muswada wa sheria kwa ajili ya kubadilisha
masharti yoyote ya
Katiba hii au masharti yoyote ya sheria yoyote
yanayohusika na jambo
lolote kati ya mambo yaliyotajwa katika Nyongeza
ya Pili, utapitishwa
tu iwapo utaungwa mkono kwa kura za wabunge
ambao idadi yao
haipungui theluthi mbili ya Wabunge wote wa
Tanzania Bara na
theluthi mbili ya Wabunge wote wa Zanzibar;
(c) Muswada wa sheria kwa ajili ya kubadilisha
masharti yoyote
yanayohusika na jambo lolote kati ya mambo
yaliyotajwa katika
Nyongeza ya Tatu iliyoko mwishoni mwa Katiba
hii, utapitishwa tu
iwapo utaungwa mkono kwa zaidi ya nusu ya
kura halali zilizopigwa
na wananchi wa Tanzania Bara, na zaidi ya nusu
ya kura halali
zilizopigwa na wananchi wa Tanzania Zanzibar
katika kura ya maoni
itakayoendeshwa na kusimamiwa na Tume Huru
ya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
(2) Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa masharti ya
ibara ndogo ya (1)
kubadilisha masharti ya Katiba hii maana yake ni
pamoja na kurekebisha au
kusahihisha masharti haya au kufuta na kuweka
masharti mengine badala yake au
kusisitiza au kubadilisha matumizi ya masharti
hayo.
 
hizo ndo ibara alizosema hapana huyo mwanasheria sasa cha ajabu mbona nyingi tu zinaipa zanzibar mamlaka..au anataka zanzibar inyang'anywe mamlaka
 
ni protocal ya kawaida kuondolewa ukumbini kwa usalama wake kwa kuwa hali ya hewa ilichafuka na wazanzibar waliopo bungeni walitaka kumshughulikia kwa kuwasaliti kwa kuwa kama mwanasheria mkuu aliapa kuilinda na kuitumikia katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kinyume na hapo ilipaswa ajiuzulu wadhfa wake ndo asimame yeye kama yeye na si kama mwanasheria mkuu
kwani kura maana yake nini?
 
Ilikuwa "April 1972" Mh: Alhaji Abdul Jumbe Mwinyi alipotwaa madaraka ya Zanzibar na kuwa Rais wa awamu ya pili wa serikali ya SMZ mara baada ya Mh: Abeid Aman Karume kuuwawa, Septembar 5, 1975 Mwalimu Nyerere akiwa kama Mwenyekiti wa Tanu na Rais wa Tanganyika aliwasilisha wazo kwenye kamati kuu ya "TANU" juu ya kuunganisha chama cha "TANU" na "ASP" suala lilijadiliwa na hatimae "OCTOBER 1976" "ASP" na "TANU" zilifikia muafakha juu ya kuungana na kuzalisha chama cha "CCM" ambacho uzinduzi wake ulikiwa Tarehe 5/2/1977, Mwendendo wa Abdul na Nyerere kwa wakati huu ulikuwa mzuri japo Abdul Jumbe alijisahau sana juu ya Taifa lake la Zanzibar lakini yote haya yalisababishwa na tamaa ya madaraka! Kwan alitamani awe rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Abdul jumbe safar yake ilianza kuwa mashakhani pale tu mara baada ya ujio wa "Edward Sokoine" ndipo alipo amua kuanza kudili na Taifa lake la Zanzibar kwa kuangalia maslahi ya Zanzibar na watu wake na kuona kuwa swala la Muungano limekaa vibaya na kuanda taarifa mbalimbali ili awasilishe mahakamani, Bila shakha wana jamvi mutakuwa munakumbuka nn kilimkuta Rais huyu wa Zanzibar Shekhe Abdul Jumbe Mwinyi kwani alipigwa kibuti na CCM mnamo mwaka 1984 kwa kisingizio cha kuvunja katiba hivo kupoteza nafasi zake zote alizokawa nazo yaani Rais wa Zanzibar, Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia na makamo mwenyekiti wa "CCM" japo nchi yake ilikuwa na katiba……!

Mwanasheria mkuu wa zanzibar (Mh: Othman Masoud Othman) ikumbukwe alijiulu katika kamati ya uandishi wa katiba pale BMK, Mwanasheria huyu huyu hakuonekana siku nyingi katika mara baada ya kujiuzulu pale kwenye kamati ya uandishi japo kwa upande wa "CCM" hawakuona kama ni tatizo kuto kuwepo kwake, wachambuzi wa masuala ya siasa hawakupenda juu ya kuendelea mchakato wa katiba huku kukiwa na makundi makubwa yanayo pingana juu ya namna ya kuandika katiba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa wa "JUKATA" akihojiwa katika kipindi cha HOT MIX kinachoenda heweni chanel 5 alidokeza juu ya kile kilichomtoa mwanasheria huyu wa SMZ katika kamati ya undishi kuwa ni "kulingana na mjadala unavyoendelea BMK haoni maslahi ya Zanzibar ili katika Rasimu ya Tume ya mabadiliko ya katiba maslahi ya Zanzibar yalikuwepo kwa 100%" , ikiyaeleza haya makamo huyo wa mwenyekiti alisema kuwa yeye alipata nakala ya barua ya kujiengua ktk kamati hiyo ya uandishi, cha kushangaza ni leo mwanasheria huyu wa SMZ alipokuja BMK na kupiga kura ya HAPANA katika ibara na sura zote ambazo hakuzihafikhi…!!! Na kura ya NDIO kwa ibara ambazo hakuwa na tatizo nazo…!

Ya moyoni mwanangu;- Mwanasheria huyu hata undiwa zengwe kama alivyofanyiwa mzee Abdul Jumbe Mwinyi…??

Je kweli Mwanasheria huyu halifanya haya bila kumshirikisha Rasi wa SMZ…??

Je kuundwa kwa kamati ya mashauliano pale BMK jana alishajua wajumbe waliopiga kura hapana watarubuniwa na kubadiri misimamo yao na yeye akaamua kujitosa ili waone kama wako pamoja na yeye na kuwapa nguvu ya kusimamia yale wanayo yaamini…???

Je mwanasheria kashaona kuwa sasa si wakati wa kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru…???

katika haya kuna moja au mawili lazima mwanasheria huyu aliyaona…………!!

Inauma historia ya muungano huu pale utaposoma kitabu cha kwaheri ukoloni
 
Jamani mwenye kujua kisa cha Jumbe atueleze,nahitaji kujua kafungwa kivipi? Dah siasa hii nchi ni balaa.
 
Back
Top Bottom