Yaliyomkuta dereva wa boss huko Dodoma

mwambie aache uzinzi hayo hayatampata tena maishani mwake.
 
He he he! Umenikumbusha mbali. Na mimi niliwahi kuibua ka mrembo pale kwenye pantoni nikawa naongozana nako huku tunatembea kuelekea Posta. Cha ajabu watu walikuwa wanatuangalia sana. Sasa nikashindwa kujua tulikuwa tumependeza au watazamaji walikuwa wananihurumia kuwa nimekwaa kisiki...
 
hizi tamaa za ngono zitapelekea kutokea hata majini. ingekuwa raha Zaidi huyu binti angetoa haja kubwa usoni kwa jamaa akiwa usingzini.
 
hahahah hii imeniacha hoi haswaa!! ila mtoa mada utakuwa ni ww mwenyewe mana km ni jamaa ako asingekuhadithia asee
 
Mwisho wenu ukawaje
 
Mkuu watu ni wabaya sana yaani hawezi jitokeza hata kukutonya kidogo. Na mimi ilishawahi kunitokea sehemu fulani kipindi bado mgeni. Nikiwa bar nikamuona demu mkali nikajisogeza kwake tukapiga kinywaji na nyama wakati huo watu wananicheki wanatabasamu tu. Mi nikidhani wamenikubali jinsi nilivyodaka kifaa kumbe najipeleka motoni.
 

Uhusiano wa mtu asiye na akili timamu na kushusha mzigo wakati wa mechi ni hafifu sana, kwanza kama hiyo siku zilifyatuka ungemkuta amekaa ki hasara na wala usinge dhani kuwa watu wanakushangaa kwa sababu umeibua kifaa, ukweli ni kuwa huyo amefumuliwa marinda zote na hana hata chembe ya sphincter muscles zilizo baki salama
 
Ndio maana tunapigania hii biashara itambulike na wavae vitambulisho. Mh JPM tumbua hili jipu la machangudoa hewa, Limegharimu mtu kunyh1wa na wengine kuibiwa.
 
Mtoa mada bwn sijui yuko group lipi yaani kumpiga umpige ww, alafu uwahi police ,wana Jf kazi kwenu,
 
Weekend yangu ishaanza vyema ha ha haaaa wanaume na sie kwa kuzoa zoa hatujambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…