Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo maana yake halafu utakuta kila mtu akija anabeba mzigo hatari ya magonjwa tena ni kubwahahahahahaha wadau utakuta washamla tigo huyo mdada alieshusha haja kubwa kitandani, si bure miss chagga
hizi tamaa za ngono zitapelekea kutokea hata majini. ingekuwa raha Zaidi huyu binti angetoa haja kubwa usoni kwa jamaa akiwa usingzini.Ni rafiki yangu, alienda dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni na kinywaji,
wakati akipata kinywaji alimwona binti mrembo akiwa amekaa peke yake kwenye meza ya pembeni kwa muda mrefu huku akiwa hana kinywaji chochote,hulka ya kianaume ikamjia akaamua kumtokea na kumuuliza kama wanaweza kuwa wote.
bila hiyana binti akajibu kuwa haina tatizo,basi wakajumuika wote kwenye chakula na kinywaji, ajabu moja aliyoona jamaa ni kuwa watu waliokuwa kwenye baa walikuwa wakimwangalia sana, kwaajili ya kinywaji kumkolea hakujali, hisia zake zilimtuma kuwa watu walimwangalia vile kwa sababu ya kitu alichoibua kwani si cha kawaida,
baada ya kutosheka wakaelekea chumbani kwa jamaa yangu,wakajimwagia maji na kulala,jamaa hakumchelewesha akaanzisha mchezo,mambo yalipoanza kunoga yule bidada akaanza kushusha haja kubwa ya nguvu kitandani,
jamaa pombe zikamtoka akaamua kumtimua usiku uleule. badae wahudumu wakamwambia kwamba huyo mdada si timamu sana huwa zinaingia na kutoka,jamaa yangu ameapa kwamba ikitokea akasafiri ni afadhali ambebe waifu wake kuliko kuvamia wanawake asiowajua.
Mwisho wenu ukawajeHe he he! Umenikumbusha mbali. Na mimi niliwahi kuibua ka mrembo pale kwenye pantoni nikawa naongozana nako huku tunatembea kuelekea Posta. Cha ajabu watu walikuwa wanatuangalia sana. Sasa nikashindwa kujua tulikuwa tumependeza au watazamaji walikuwa wananihurumia kuwa nimekwaa kisiki...
Niliishia kumpa ofa ya breakfast na kumwacha aende zake... Niliogopa sana kuendelea zaidi ya hapo...Mwisho wenu ukawaje
Afadhali umemchana kuna watu very primitive aisee.Sasa mpaka anamchukua hakujua kuwa ni changu? Alafu pia changu ni mtu na ana nyama kama wewe
Mkuu watu ni wabaya sana yaani hawezi jitokeza hata kukutonya kidogo. Na mimi ilishawahi kunitokea sehemu fulani kipindi bado mgeni. Nikiwa bar nikamuona demu mkali nikajisogeza kwake tukapiga kinywaji na nyama wakati huo watu wananicheki wanatabasamu tu. Mi nikidhani wamenikubali jinsi nilivyodaka kifaa kumbe najipeleka motoni.He he he! Umenikumbusha mbali. Na mimi niliwahi kuibua ka mrembo pale kwenye pantoni nikawa naongozana nako huku tunatembea kuelekea Posta. Cha ajabu watu walikuwa wanatuangalia sana. Sasa nikashindwa kujua tulikuwa tumependeza au watazamaji walikuwa wananihurumia kuwa nimekwaa kisiki...
Ni rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni na kinywaji.
Wakati akipata kinywaji alimwona binti mrembo akiwa amekaa peke yake kwenye meza ya pembeni kwa muda mrefu huku akiwa hana kinywaji chochote,hulka ya kianaume ikamjia akaamua kumtokea na kumuuliza kama wanaweza kuwa wote.
Bila hiyana binti akajibu kuwa haina tatizo,basi wakajumuika wote kwenye chakula na kinywaji, ajabu moja aliyoona jamaa ni kuwa watu waliokuwa kwenye baa walikuwa wakimwangalia sana, kwaajili ya kinywaji kumkolea hakujali, hisia zake zilimtuma kuwa watu walimwangalia vile kwa sababu ya kitu alichoibua kwani si cha kawaida.
Baada ya kutosheka wakaelekea chumbani kwa jamaa yangu,wakajimwagia maji na kulala,jamaa hakumchelewesha akaanzisha mchezo,mambo yalipoanza kunoga yule bidada akaanza kushusha haja kubwa ya nguvu kitandani,
jamaa pombe zikamtoka akaamua kumtimua usiku uleule.
Baadae wahudumu wakamwambia kwamba huyo mdada si timamu sana huwa zinaingia na kutoka,jamaa yangu ameapa kwamba ikitokea akasafiri ni afadhali ambebe mke wake kuliko kuvamia wanawake asiowajua.
Hahaaa yani show ikikolea dem anacha jiwe la msingi kitandani hiyo chiboko
Ndio maana tunapigania hii biashara itambulike na wavae vitambulisho. Mh JPM tumbua hili jipu la machangudoa hewa, Limegharimu mtu kunyh1wa na wengine kuibiwa.Ni rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni na kinywaji.
Wakati akipata kinywaji alimwona binti mrembo akiwa amekaa peke yake kwenye meza ya pembeni kwa muda mrefu huku akiwa hana kinywaji chochote,hulka ya kianaume ikamjia akaamua kumtokea na kumuuliza kama wanaweza kuwa wote.
Bila hiyana binti akajibu kuwa haina tatizo,basi wakajumuika wote kwenye chakula na kinywaji, ajabu moja aliyoona jamaa ni kuwa watu waliokuwa kwenye baa walikuwa wakimwangalia sana, kwaajili ya kinywaji kumkolea hakujali, hisia zake zilimtuma kuwa watu walimwangalia vile kwa sababu ya kitu alichoibua kwani si cha kawaida.
Baada ya kutosheka wakaelekea chumbani kwa jamaa yangu,wakajimwagia maji na kulala,jamaa hakumchelewesha akaanzisha mchezo,mambo yalipoanza kunoga yule bidada akaanza kushusha haja kubwa ya nguvu kitandani,
jamaa pombe zikamtoka akaamua kumtimua usiku uleule.
Baadae wahudumu wakamwambia kwamba huyo mdada si timamu sana huwa zinaingia na kutoka,jamaa yangu ameapa kwamba ikitokea akasafiri ni afadhali ambebe mke wake kuliko kuvamia wanawake asiowajua.
Weekend yangu ishaanza vyema ha ha haaaa wanaume na sie kwa kuzoa zoa hatujamboNi rafiki yangu, alienda Dodoma kikazi,baada ya mizunguko ya kiofisi akarudi gesti alikofikia, mida ya jioni akateremka kwenye baa ambayo iko jengo moja na gesti aliyofikia ili apate mlo wa jioni na kinywaji.