Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,584
Reaction score
3,051
Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani,
akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo.
Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk.
ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
 
ukitaka kuchinja tumbiri marufuku kutazama usoni. Mama na mapungufu yake yote, angemezea kunangwa na Ndugai ilikuwa ni kutengeneza njia kwa wakosoaji wa kudhalilisha wengi sana baada ya hapo.
Kwa Magufuli hawakuthubutu kumnanga mbele ya sura yake. Hata hao kina Kinana walikuwa wanaweka mikono nyuma mbele ya Magufuli, bila kuvuja sauti zao Magufuli asingekaa akajua asilani kuwa alikuwa ananangwa.
Kitendo cha Ndugai kumsema raisi mbele ya waandishi wa habari (hata kama alikuwa na makosa) ni utovu wa nidhamu na dharau iliyokithiri na hana wa kumlaumu kwa hatma yake zaidi yake yeye mwenyewe. Waliokuwa wanampa kichwa sasa hivi wanamng'ong'a.
 
Tooo low kutetemesha Taifa kwa vitu minor kama hivyo. Story za Vijiwe vya Kahawa zinakutisha nini ukiwa na Mamlaka yote ndani ya Nchi? Ukomavu wa Kiuongozi umekosekana katika suala la Job hadi akafikia kujiuzulu. Tumekosea kama Nchi maaana tuna atract attention ya kimataifa kwa sura mbaya.
 
Halafu watu bila aibu wanamwita magu dikteta. Kuna dikteta angeiacha ile hali? Mnajua madikteta mnawasikia?
Hata kama ni mbabe kiasi gani kuna mahali huwa ni pagumu mno kupashughulikia. Uraisi haukupi nguvu isiyo na kipimo.
 
Anaweza wafanya nini sasa kina Kinana? Zaidi ya wao kumfanya walichomfanya! Mbwa wamfuge wenyewe halaf awabwekee... Ingekuwa hata wewe ungemfanyaje huyo mbwa?
Angekua dikteta kweli asingekosa cha kuwafanya. Dikteta kuna mtu atamshinda? Soma historia za madikteta uone
 
Halafu watu bila aibu wanamwita magu dikteta. Kuna dikteta angeiacha ile hali? Mnajua madikteta mnawasikia?
Ndio Magu dicteta, msiwe machiz. Ni mara mia afadhali Samia mana yeye anakunanga hadharani, ila Magu alikuwa atumia wasiojulikana kitakachokupata utajijua....
 
Magufuli aliwanyima watu kuiba ndio maana walikua wanamchukia.

Ila kwakua hakuna tena kikwazo hakuna anayejali kwa yanayoendelea sasa.
 
Back
Top Bottom