Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

Yaliyomkuta Nakaaya Sumari

inakuwaje sony wamchague mtu kwa faida yao kisha wamtose kwa sababu ya kuandikiwa barua na rapper mmoja? unless the rapper is a very important client of sony......hii story ina walakin kwangu
 
Tatizo la wasanii wa kibongo hasa mademu ni wababaikaji sana!
 
Mhhhh...
Kuna kitu kuhusu sisi watanzania ambacho ni very interesting........
I mean hakuna happy endings....
We always end up failing i dont know why.....
But ni kama normal kwa watanzania but sio normal kwa wengine.....
 
Hey,man
Kuna wengine ni mega winners!!
The boss,hiyo wala hai apply kwa watanzania - ni vijiambo vya mtu mmoja moja.
 
Ni vizuri katoa her side of the story kwani tulishaanza kujitungia stori zetu. Kuna wakati nilimuona in a mall kwa kweli demu alionekana kafulia but at least now we know what happened. You are strong person you'll come through just believe that you can
 
Just the right attitude girl! You are never defeated unless you give up. Inuka, kung'uta mavumbi, learn from your mistakes and move on! Achana na haters and manipulators, coz they are just that! Nothing more! Lakini politics might be a bit rough, ila kaza buti!

 
If indeed this is authentic, then Miss Sumari should take her own advise

I am a classic lesson for the famous saying ‘never mix business with pleasure’. You must be asking yourself what does that have to do with the deal? **Trust me** I asked myself the same question. Check this out: -

It seems to me that by airing out her professional business escapades readily like that, she is repeating the mistake of mixing
business with the pleasure of sympathy seeking through her blog.

She needs competent advisers, probably a manager and PR people to handle her outbursts and go over anything she may self
incriminate in her blog.

She also seems to think everybody knows her and her Sony deal, many people don't. In communication, introducing issues is very important. Even presidents
including the household name ones, do introduce themselves, albeit sometimes out of sheer courtesy.

Lastly, if she is of the mind that there was any sort of discrimination, the proper forum should be court of law/ labor bodies, not blogs.

She is only giving ammunition to the paparrazzi and her enemies.

When you cry, you cry alone.When you laugh, the whole world laughs with you.
 
Binti huyu ameumizwa na anahitaji some moral support!! She has learnt the hard way but she is determined to succeed!! Once you give up you are dead mama!!
 
If indeed this is authentic, then Miss Sumari should take her own advise



It seems to me that by airing out her professional business escapades readily like that, she is repeating the mistake of mixing
business with the pleasure of sympathy seeking through her blog.

She needs competent advisers, probably a manager and PR people to handle her outbursts and go over anything she may self
incriminate in her blog.

She also seems to think everybody knows her and her Sony deal, many people don't. In communication, introducing issues is very important. Even presidents
including the household name ones, do introduce themselves, albeit sometimes out of sheer courtesy.

Lastly, if she is of the mind that there was any sort of discrimination, the proper forum should be court of law/ labor bodies, not blogs.

She is only giving ammunition to the paparrazzi and her enemies.

When you cry, you cry alone.When you laugh, the whole world laughs with you.

..kama hana hao adviserss i pray yeye apitie hapa au mtu aliye karibu naye amwambie apitie hapa...am sure atajifunza mengi....lol

....
 
Nakaaya hajafikia hatua ya kuhitaji manager wala PR musically speaking. Anahitaji tu ushauri wa maisha generally, aanze na mama yake it's always a good place to start with. Aache kukaa na wadada wa mjini wanaoishi maisha ya kukeep appearances if she does. Kila mtu ana wakati wake wa ku shine maishani, wake haujafika.
 
It is written while in anger, not easy to understand really!
 
nimekosa la kuandika hapa ...duh


ahaaa, FL1, umeandika kiduchuuu, sio umekosa kabisa, mboa hayo hapo umeandika??!..


Hayo ndo mambo ya baadhi ya wasanii wetu kukosa umakini wakati wanapoingia kwenye mikataba ya kuwapa umaarufu na badae kuishia kulalama kwenye "public" kama hivi...

Haitasaidia kitu kwake zaidi ya kujianika uthembe wake huyu Binti....

Labda alipaswa kujifunza kupitia ule wimbo wake wa "MR POLITICIAN" kuhusu hadaaa za walimwengu sio tu wanasiasa...kumbe ilikuwa ni mahubiri tu ambayo mwenywe hayashiki??
 
Well, I spent a good number of hours online today trying to find out what on earth happened to Nakaaya and her eminent fame and fortune with Sony...and then I stumble upon this! Pole mpenzi. That's life.

Record labels have the tendency to drop artists as and when they feel like it IF they [the artists] don't deliver. However, I'm quite amazed to hear that a major record label like Sony would drop an artist over a couple of stinkers from a rapper (or anybody for that matter)? If that were the case, I think the world wouldn't have a single major artist left, now would they? Manake scandals za kutisha ziko kibao! But those artists are still making music.

Lakini, sitaki kujifanya najua. Lakini naweza kumshauri Nakaaya aangalie huo mkataba wake na Sony tena. In fact, aende kwa wakili ili aweze kumfafanulia zaidi vipengele vilivyomo humo ndani. Huenda kuna fidia fulani ambayo anaweza kupata. Sijui. Mkataba sijauona. Aende tu akaangalie vizuri na wakili.

And Nakaaya, the next time you want a vocal coach you don't have to go to Nairobi. Tanzania sasa hivi kuna vocal coach hapa hapa. Usipate tabu. Nenda Joett's Music Blog

God bless!
 
Pole zake jamani! Haya yanatokea kwa wasanii wengi wa kike japo wao hawasemi ila kuvuliwa magauni na mameneja au maproducers ni hali ya kawaida. Pole dada "When One Door is Closed another is Opened" Bob Marley said.
 
i am sorry about what happen to her but it seems is always the case when our famous girls getting hooking up with such people!

second i am a little bit disappointed with they way he statrted attacking government leaders, i know changes is needed but i just feel its not the rignth way to start your political carieer like that!

i hope u know in what battle ur gettn into, being an mp is not that easy!
 
Kuna mtu amezungumza kuhusu Mkataba wake na Sony. kama nimemuelewa Vyema yeye anasema umevunjika kwa kuwa Rapper aliyedhani ni kipenzi chake alimchomea kwa watu wa Sony. Kuna mtu amesema sawa kabisa kuwa ni ajabu kwa kampuni kubwa kama Sony kumtema msanii ambaye walimpa wenyewe mkataba kwa kumuona anafaa kwa vile tu ati kuna rapper kamchomea utambi. I am starting to think the whole issue stands on the mkataba.
What if, kwenye mkataba Sony walimtaka mdogo wetu atunge na kuimba nyimbo Kumi za nguvu katika kipindi cha mwaka mmoja na mdogo wetu akashindwa kudeliver na wakamtosa naye aksihia kukimbilia kwenye blog kuanza kulalama??
Kama kweli Sony wamevunja mkataba basi kama alivyoshauri mdau mmoja, kwa nini mdogo wetu asitafute mtu wa kumuongoza ili kudai fidia Sony kwa kuvunja mkataba??
In this issue there are so many Questions to be addresed to, and definitely not in Personal Blogs!
 
Watanzania tunatabia ya kutokusoma mikataba wakati wa kuweka sahihi. Yawezekana alikuwa kwenye 'probation' tu ya mwaka au miezi. Mkataba umekwisha na Sony hawaku-renew basi binti huyu hajaelewa na kuanza kulalama ovyo! Sasa asubiri kali zaidi ya hili huko kwenye siasa anakoingia kichwa kichwa baada ya kutunga wimbo mmoja wenye mahudhui ya siasa wa "Mr. Politician"

Wenye magari wangapi mmesoma "insurance policy". Je, kijiografia, 'policy' yako inafanya kazi kwenye eneo gani? Kama ni Dar tu na ukapewa kibano Chalinze ujue hakuna fidia hapo. Au ni Tanzania tu na ukaamua kwenda kwenu Kagera kupitia Kenya na Uganda na kupewa kibano kati ya nchi hizo mbili ujue hakuna fidia hapo. Serikali yetu yenyewe haisomi mikataba! Hivyo tunabaki kulalama tu. Na yote haya yanakuja kwa sababu ni wavivu kusoma - no reading culture. Hizo comprehension tulizokuwa tunapewa kwenye English lessons ilikuwa ni kupata alama tu za kufaulu na sio kuzitumia katika maisha yetu. Tusome
 
Back
Top Bottom