Yaliyomkuta Stamina, Mabeste na Ally Kiba ni bora kuliko yaliyomkuta Davido

Yaliyomkuta Stamina, Mabeste na Ally Kiba ni bora kuliko yaliyomkuta Davido

herman joshua

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
1,967
Reaction score
3,212
Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake.

Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala hlo na ikiwa haishi na huyo mkewe.

Kwa Stamina hatuelewi japo inadaiwa kibamia pia ni tatizo lililosababisha bwana stamina kubwagwa na aliyekuwa mke wake.

Pia imemtokea bwana Davido msanii mkubwa barani Africa kutoka Nigeria ni baada ya kijana aliyemuibua kimuziki na kumsaini kwenye lebo yake ya muziki, kuzaa na mke wake jambo lililozua tafrani kubwa mitandaoni.

Swali ni kwamba; Ni nini kinachowakumba wasanii hawa wa muziki?

Je, ni ubize wa kazi mpaka kusahau majukumu ya kifamilia?

NB: Hao ni baadhi, kama kuna mwingine waweza muongeza.
 
Wao ni binadamu kama binadamu wengine. Yanayowatokea wao hata raia wa kawaida wasiokuwa maarufu huwatokea mara kwa mara. Mambo yao yanachukua attention ya jamii kwa sababu ya hadhi zao. Nothing less, nothing more.
 
herman joshua, Mambo ya kawaida tu, wanawake watabaki kuwa wanawake, kugonga mke wa mtu au kugongewa, ni jambo la kawaida tu, uswahili tunagonga na tunagongewa, ushuani vilevile, makanisani, mchungaji anagonga wake wa waumini wake,

Serikalini, hata waziri au raisi anagongewa, kumbuka, Winnie Mandela, je Monica Lewinsky na Clinton,
Tatizo vijana wa siku hizi mmekuwa wanaume jinsia tu, mkeo akishikwa msambwanda, unajinyonga,
Akigongwa, piga chini, tafuta mwingine ugonge,

King David, aligonga mke wa kamanda wake, wakati kamanda akiwa vitani, aliponogewa, akamuua na kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post ukuelewa situation ipo ivi uyo dogo anaitwa Peruzzi ndio alikuwa anamtungia ngoma davido ngoma kama fia dogo ndio katunga.uyu demu was davido(chioma) alikuwa n demu wa Peruzzi kitambo baada ya Peruzzi kuwa karibu na davido chioma akaona dili.kwaiyo chioma n Peruzzi wakamdanganya davido kuwa ni ndugu yni ni cousin wake davido akamua kukaa n kuwa mkewe bila kutambua kama ni x wa msanii wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Nani aliagiza ukioa au kuolewa ndio usisex na wengine. Hapo Tunahitaji danganya na kujipa stress za buree. Kugonga na kugongewa hata kwenye agano la kale ipo. Tukubali tu mifumo. Unaoa au kuolewa na mtu ana meno 32 bikra hana anajua styles zote. Nyoooooo
 
Ubuyu wa davido unaletwa nusu nusu. Ina maana mtoto wa chioma sio wa davido aiseee sio kwa mbwembwe zile
 
Davido kaoa lini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
dojonase,
Peruzzi yeye ni PIMP( muuza makahaba) na Chioma alikia miongoni mwa makahaba wanaouzwa na Peruzzi ila jamaa alikua anamtafuna huyo Chioma..ikatokea nafasi akalengeshwa Davido ila Chioma akadanganya kwamba Pereuzzi ni Cousin wake..inabidi uwe makini sana na hawa macousin cousin
 
Back
Top Bottom