herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake.
Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala hlo na ikiwa haishi na huyo mkewe.
Kwa Stamina hatuelewi japo inadaiwa kibamia pia ni tatizo lililosababisha bwana stamina kubwagwa na aliyekuwa mke wake.
Pia imemtokea bwana Davido msanii mkubwa barani Africa kutoka Nigeria ni baada ya kijana aliyemuibua kimuziki na kumsaini kwenye lebo yake ya muziki, kuzaa na mke wake jambo lililozua tafrani kubwa mitandaoni.
Swali ni kwamba; Ni nini kinachowakumba wasanii hawa wa muziki?
Je, ni ubize wa kazi mpaka kusahau majukumu ya kifamilia?
NB: Hao ni baadhi, kama kuna mwingine waweza muongeza.