Who the heck is Lady Jay anyway?
Msikilize hapa: Lady Jay Dee , ndiye mrithi wa Whitney Afrika Mashariki na Kati bila kusahau Kusini
Hilo ndilo jina la kisanii linalokubalika, mwanamama yuko fiti ila inabidi tumsaidie badala ya kumsakama kama alivyosakamwa Whitney!
matatizo ya wasanii maarufu ni mazito kuliko ugolo - wengi wana msongo!
Yakiwakuta poa tu. Wakiondoka wengine wanakuja. Kwanini kulewa umaarufu wa shilingi mbili? Ni suala la kuacha ulimbukeni na kuiga iga mambo ya kipuuzi badala ya yale ya maana. Whoever does not want to listen and learn then get ready to perish simply foolishly.
Sijuhi maana ya kusongwa. Ameandika hii paper:TANZANIA'S OPERATION VIJIJI AND LOCAL ECOLOGICAL CONSCIOUSNESS: THE CASE OF EASTERN IRAQWLAND, 1974–1976

ukumbuke kumsoma huyu mwanabrookings hapa chini, anzisha thredi nyingine kuhusu hayo - hapa tufokasi on kuwalinda wasanii wetu!
UDADISI: Rethinking in Action: LONG-RUN EFFECTS OF VILLAGIZATION IN TANZANIA