Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
- Thread starter
- #21
maselebriti wetu wanahitaji ku-exhale: Whitney Houston - Exhale (Shoop Shoop) (Waiting To Exhale Soundtrack) - YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni zahama gani hizo unazotaka tuwalinde nazo?
Labda tukianzia huko tutaweza kuwa na msaada
zahama wanazozianisha katika nyimbo zao - mfano wimbo huu:
Who the heck is Lady Jay anyway?
Mfano wa wimbo huo ni kusemwa semwa na watu.
Kumsema mtu ni tabia mbaya iwapo mhusika ni maarufu au sio maarufu, kwa hiyo hiyo zahama haiwahusu wao tu exclusively
Badala yake nadhani tungewaasa waache kutumia dawa za kulevya ingekuwa na msaada zaidi
Kuna mtu ananisema vibaya kwa watu....nahitaji tindikali. Wapi ntaipata?
Badala yake nadhani tungewaasa waache kutumia dawa za kulevya ingekuwa na msaada zaidi
Mie nna maabara binafsi, tunaongelea sh'ngapi?