Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
acheni masihara, hili ni janga la kitaifa na kimataifa - kuweni siriasi kidogo au mpaka watu wafe?
Hivi we dogo unakesha UDASA nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni masihara, hili ni janga la kitaifa na kimataifa - kuweni siriasi kidogo au mpaka watu wafe?
msikilize hapa: lady jay dee , ndiye mrithi wa whitney afrika mashariki na kati bila kusahau kusini
Mfano wa wimbo huo ni kusemwa semwa na watu.
Kumsema mtu ni tabia mbaya iwapo mhusika ni maarufu au sio maarufu, kwa hiyo hiyo zahama haiwahusu wao tu exclusively
kuwaasa kabla au baada? kumbuka hapa tunajikita katika kinga zaidi ya tiba.
analogy: mafisadi wangapi wameaswa kucha ufisadi ikawasaidia kuacha?
kuna tofauti kubwa tena sana - ukiwa selebriti jamii na dunia nzima macho na masikio yako kwako, unasongwasongwa kila kona!
ps. mkumbuke binti mfalme wa wales, Diana!
Tamka bei...tena nataka ile kali sana kupita zote.
Huwezi kutaka kuwa maarufu lakini wakati huo huo ukataka watu wasikujadili.
Unakuwa maarufu kwa kujadiliwa na watu unless uwe umezaliwa au kuolewa Royal family kwa mfano
Bei inaendana na uzuri wa reception ya mwagiwa...
Ningemwaga sifa zaidi ila Companero keshakuja juu!
Bei inaendana na uzuri wa reception ya mwagiwa...
Ningemwaga sifa zaidi ila Companero keshakuja juu!
ahaaaa haya!angalau waombee - kuombea wengine ni kujiombea
Ndio maana tunapaswa kuwakinga na zahama hizo - hata wao ni binadamu wadhaifu kama tusio maarufu, wao sio superhumans, they also need love and understanding.
Tatizo unique kwa watu wa entertainment industry ni utumiaji wa madawa ya kulevya.
Kwa hiyo ninachosema Mimi ni tuweke focus kwenye hilo na sio maneno tu yoyote wayasemayo kwenye nyimbo zao
@ Whitney's Didn't we have it all
It is unrealistic kutaka watu maarufu kwenye entertainment industry kutojadiliwa.
Tatizo ni mdawa ya kulevya. Wakijadiliwa wasijadiliwe kama wana tatizo hilo, mwisho wao si mwema
Nyimbo zao ni sehemu ya kilio chao, madawa ya kulevya ni SYMPTOMS/MATOKEO tu ya tatizo kubwa ndani ya MOYO!
Lazima tupambane na chanzo kinachopelekea MSONGO na hatimaye madawa- hebu sikiliza chanzo cha maumivu haya:
wanaokesha hapo nao wanahitaji msaada - kuna wasomi maarufu nao wanateswa sana na msongo ila sisi hatujui, tunawashabikia tu badala ya kuwasaidia!
Unachofanya ni kuwatafutia excuse kwa addictions zao kwa madawa ya kulevya tu sio jengine.
Wapo katika position ya kupata msaada wowote wa kitaalamu wanaotaka ikiwa watakuwa na msongo lakini wao wanakombilia madawa ya kulevya
Yakiwakuta poa tu. Wakiondoka wengine wanakuja. Kwanini kulewa umaarufu wa shilingi mbili? Ni suala la kuacha ulimbukeni na kuiga iga mambo ya kipuuzi badala ya yale ya maana. Whoever does not want to listen and learn then get ready to perish simply foolishly.