Ni zahama gani hizo unazotaka tuwalinde nazo?
Labda tukianzia huko tutaweza kuwa na msaada
zahama wanazozianisha katika nyimbo zao - mfano wimbo huu:
Mmmh ad lib
Aiya ya ya ya....
Chorus
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh liosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Eh nimesemwa sana jamani, Hamchoki?
Repeat Chorus
Verse 1
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi
Repeat Chorus
Verse 2
Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu havifanii kwa ukweni
Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani siwapi tena nafasi
Ooh siku hazigandi, hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi
Verse 3
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Repeat Chorus till fade
© Lady Jaydee