Ningekuwa na majibu nisingeleta hii mada hapa kwa jinsi nilivyoileta - ningeweka prescriptions A, B, C za kuwasaidia full stop.
Huna hata idea ya huo msaada unachojua ni kuwa sasa tunawashabikia tu. I see
siwezi kukulazimisha uone vitu ambavyo hutaki kuviona japo uwezo na sababu ya kuviona unayo - ideas zimejaa tele kwenye hizo posti hapo juu (kujali, kuwa sensitive, kutowasakama tu bila kujua msongo wanaoupitia n.k, msaada huanza na mtu mmojammoja)!
Mkuu wewe si ndo ulosema hujui tuwasaidieje or else ungeandika?
Itakuwa sikukuelewa vyema, kumradhi.
I pledge to be kuwa sensitive, kujali, kutowasakama bila ya kujua msongo walio nao.
I pledge msaada kuanzia kwa mtu mmoja, Gaijin
companero watu wenye akili hawawezi kuwasema hawa stars, ila njaa ya pesa inapelekea waandishi kuandika lolote lile wauze habari zao
waandishi ndio walimuaa michael, whitney,...
companero watu wenye akili hawawezi kuwasema hawa stars, ila njaa ya pesa inapelekea waandishi kuandika lolote lile wauze habari zao
waandishi ndio walimuaa michael, whitney,...
angalieni mambo yenu ya hovyo kwanza ndio mnyooshee wengine vidole, nyie angalieni hatua zenu mnazopita ni hatari zaidi ya hayo ya wenzenu... Uzinzi, nksalaam.
Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama lady jay dee, mwasiti, wema, diamond na professor jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya whitney houston kuhusu yeye na michael jackson alipohojiwa na oprah winfrey - na jipange sasa:
bonyeza whitney houston
tulia. Tafakari. Chukua hatua.
Kwanza kumlinganisha whitney na judth wambura sio sahihi,Hilo ndilo jina la kisanii linalokubalika, mwanamama yuko fiti ila inabidi tumsaidie badala ya kumsakama kama alivyosakamwa Whitney!
Kuna mtu ananisema vibaya kwa watu....nahitaji tindikali. Wapi ntaipata?
naskia whitney kwao kabosa ni hannang
zahama wanazozianisha katika nyimbo zao - mfano wimbo huu:
Mmmh ad lib
Aiya ya ya ya....
Chorus
Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Mmmh liosema
Aah nasonga mbele
Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona
Eh nimesemwa sana jamani, Hamchoki?
Repeat Chorus
Verse 1
Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki
Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi
Repeat Chorus
......
© Lady Jaydee