Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Salaam.
Naomba tupange na tutekeleze mikakati ya kuwakinga wasanii wetu maarufu kama Lady Jay Dee, Mwasiti, Wema, Diamond na Professor Jay na hizi zahama zinazopelekea kukumbana na mauti ilhali mtu bado ni kinda tu. Kinga ni bora kuliko tiba. Hebu sikiliza maneno haya ya Whitney Houston kuhusu yeye na Michael Jackson alipohojiwa na Oprah Winfrey - na jipange sasa:Bonyeza Whitney Houston
TULIA. TAFAKARI. CHUKUA HATUA.
Mie kila nikijaribu kuwaza na kuwazua hivi mpaka unafikia kuharibikiwa kabisa ,
wako wapi watu wa karibu kukusaidia
wako wapi ndugu jamaa marafiki
Wako wapi baba na mama...
lah ...
haya ni maneno ya lad jay dee...huyu dada anaonekana ni mtu kakata tamaa hivi na anavyosakamwa na wajuaji basi anashindwa kuhimili....
SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII
Halafu simulizi kamili ya story nzima kuwa nataka iweje ziko kwenye wimbo wangu mpya
Mpaka kuhusu nani awepo na nani asiwepo na nini kifanyike
Nani achukue nini na nani afanye nini
Stay tuned
source Lady Jay Dee: SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII
una laaaaaaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya Jffffffffffffffffffffffffff kweliiiiiiiiiiiiii umeniacha niache savannah yangu kwenye meza nianze kuzunguka kutafuta choooooooooooooooo maana huyu mungu bwana aaaaaaaaaaaaaaa sijui kwa nini kichekecho sikuzote kinafwataana na mkojo ama haja kubwaJina lake Judith Wambura. Kwanini anajiita Lady Jay Dee? Kwanini asijiite JWTz?
Mie kila nikijaribu kuwaza na kuwazua hivi mpaka unafikia kuharibikiwa kabisa ,
wako wapi watu wa karibu kukusaidia
wako wapi ndugu jamaa marafiki
Wako wapi baba na mama...
lah ...
una laaaaaaaaaaaaaaaannnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya Jffffffffffffffffffffffffff kweliiiiiiiiiiiiii umeniacha niache savannah yangu kwenye meza nianze kuzunguka kutafuta choooooooooooooooo maana huyu mungu bwana aaaaaaaaaaaaaaa sijui kwa nini kichekecho sikuzote kinafwataana na mkojo ama haja kubwa