Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Nlikutana na shoo moja hivi buguruni pale kifupi flani hivi kimejaajaa wazee.. Nkazama ndani nkalipa asee!!! Heeh akaipaka mafuta Kuja kuweka nkapwaya mazimaaa.. Ruka ruka na wewe wapiiiiii, ananiuliza "bado tu mzee baba"!? Doh! Sijawh kutana na shimo Kama Ile mimi [emoji3064]
 
Mtu analala na wanaume zaidi ya 6 kwa siku dah ila inahitaji moyo sana kufanya hivi
 
Na inafanywa kwasababu ya umasikini sio mapepo kama wengi wanavyodhani, wengi wanafanya kujiingizia kipato
Sio sahihi. Kuna njia nyingi za kutafuta pesa sio mpaka kujiuza. Wengine hawana uchumi mzuri na wanauza hadi mihogo, ndizi na kulinda utu wao. Kimsingi kwa mwanaume na mwanamke. Kama huna pepo la ngono na ukahaba huwezi fanya hivyo vitu. Sio kujiuza wale kununua. Bro tumepita huko. Tulikuwa tunanunua ila sasa unaweza hivi nilikuwa nafanya nini?

Hivi nitaanzia wapi kununua hao watu. Yaani mwanamke analalwa na wanaume 20 kwa siku nawe inalala naye. Kwa jinsi ya kibinadamu ni kazi sana kujiuza na kununua mkuu.
 
Nipo Dodoma kikazi toeni location wakuu nikajitulize,
 
Sio mapepo ni hali ya kiuchumi ilivyo, mtu anaona afanye ili apate pesa , ingekua ni swala la mapepo basi anaejiuza ni lazima wangekua na uwezo fulani then anataka kujiuza
Mbona hoja ya jamaa umeiua kiwepesi sana.
 
Suluhisho la hali hii ni kwenda umezima data kabisa umepiga zako k-vant
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia hili, mimi bila kula k vant kitu hakisimami kamwe, kinakuwa kinaniuliza unataka niingie kwenye hilo shimo chafu hivyo, dawa ni kuzima data [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…