namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
[emoji1][emoji1], doho mimi mkongwe tuheshimiane aisee. Huenda nipo sawa na baba/mama yako kiumri.We kweli mkongwe
Ili enzi zangu naenda pale hakuna cha kulipia chumba
Ukitoa 5000 imetosha vyumba wanavyo wao mule ndani
Dodoma hakuna hizi mambo nahisiWekeni machimbo ya dodoma tukapone weekend hii
Ni hatari sio tuu kuibiwa( kukabwa) bali magonjwa. Wanawake wako wengiii. Hawa wa barabarani ni wa kuwakimbia kabla hujawa addictedWakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa.
Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye mataa pale.
Kweli nikawakuta wamezagaa katika mawindo yao. Sasa sikuwa na uzoefu na hawa watu nikawa nimesimama pembeni kwa mbali kidogo natafuta taiming ya kuwaingilia
Nikawa nashuhudia jinsi wanavyowatukana wanaume ambao walionekana wazi kuwazingua kwa namna moja ama nyingine.
Niliposogea eneo la tukio, wakanikimbilia kama watatu hivi na kunambia kwaiyo kaka vip "Twende basi" Nikaangalia mmoja ambaye niliamin kuwa angenifaa na kupita naye kuelekea katika maeneo yao ya kutolea huduma.
Huduma ilikuwa inatolewa kuanzia shilingi elfu tano (kwa muda mfupi) na kuendelea.
CHANGAMOTO NILIZOKUTANA NAZO.
Kwakuwa nilikuwa mgeni na haya mambo, nilidhani kuwa nitapata huduma kama zile nilizokuwa napata kwa mpenz wangu niliyemuacha kule kijijini. Dooooh kumbe bwana ni chomeka, kojoa , ondoka.
Aisee nilihuzunika baada ya kutumia chini ya dakika moja nishamaliza kila kitu, ikabidi nivunge japo kishingo upande.
Nikaona sio kesi, kwakuwa sijatosheka ngoja nikaokote matirio nyingine kwa huduma zaidi. Nilipotoka nje nikaona bora tu nikalale haina haja tena.
Lakini baada ya wiki moja moyo wangu ulinituma tena niende pale pale nikapunguze kidogo ugwadu.
Hapo sasa ndipo pamenifanya mpaka leo sitamani tena kurudi, wala kujihusisha tena na wale watu.
AISEE
Nilimchukua dada mmoja, tukaenda katika chimbo ambalo anatumia. Hapa haikuwa ndani ilikuwa ni nyuma tu ya jengo flani kuna ukuta na kuna giza totoro. Kibaya zaidi pale mlangoni kulikuwa na mlinzi (Mgambo) lakini wale wadada walikuwa wanamlinda kwa chochote na wanaingia kule.
Ebwana nilikuwa kirundo cha watu wakiendelea kuchakatana. Yaani huyu kainamishwa hapa, yule kalazwa pale anajifanya anaugulia uongo uongo, wengine wanaelewana bei yaani ilikuwa ni uchafu kwakweli.
Daah nikajifikiria busara yangu na hekima nilonayo. Itakuwaje kama nikikutana na mtu anayenijua? Ukizingatia mimi ni mfanya biashara ambaye nilikuwa najulikana kwa kiasi flani.
Daah nikapiga moyo konde, kumwambia yule dada kuwa aniache tu nirudi ingawa pesa yake nilimlipa kama alivyotaka.
- Mazingira yalikuwa machafu sana
- Watu walifanya uchafu wazi wazi na bila staha wala kuona aibu
- Mwanaume mwenzako anakusubiri umalize chap chap umpe nafasi naye afanye yake
Nilirudi nyumbani na kumuomba sana Mwenyezimungu anisaidie, anitie nguvu katika imani na pepo mchafu aniondoke.
Namshukuru Mungu kwa sasa nimeoa , ingawa sisemi kama sichepuki ila kiasi flani naiona nguvu ya maombi yangu na kule mafiati bwana sijarudi Tena
Nina watoto wawili sasa.
Daah mwanang sijui umejuaje ilinkutag enzi izo Mara kazaa hawatak kutoa sidiriaDada poa hakuna mapenzi pale. Bora kuhudumia mwanadada wa maana kuliko kununua malaya. Halafu sijui kwanini wanakataaga kutoa sidiria[emoji23][emoji23]
Nahisi wengine labda wapo kwenye unyonyeshaji wa watotoDaah mwanang sijui umejuaje ilinkutag enzi izo Mara kazaa hawatak kutoa sidiria
Tatizo wale ni watamu kuliko ma girlfriend zetuNi hatari sio tuu kuibiwa( kukabwa) bali magonjwa. Wanawake wako wengiii. Hawa wa barabarani ni wa kuwakimbia kabla hujawa addicted
Yan Ni unamkunj kadri unavyojisikiaTatizo wale ni watamu kuliko ma girlfriend zetu
Hii Biblia ya wapi, mbona imetumia maneno makali hivii
Kweli kabisaYan Ni unamkunj kadri unavyojisikia
Ulitaka Biblia itumie lugha nyepesi ili uchukulie poa,Hii Biblia ya wapi, mbona imetumia maneno makali hivii
Watu wabishi kwenye kufundishwa makosa yaoHii kitabu gani tena? Si wote tutaoza na kuliwa na wadudu?
Akitoa sidilia mb**oo inasinyaa hapo hapo.......maana sio Kwa lapa Hilo....Dada poa hakuna mapenzi pale. Bora kuhudumia mwanadada wa maana kuliko kununua malaya. Halafu sijui kwanini wanakataaga kutoa sidiria[emoji23][emoji23]
Watu wabishi kwenye kufundishwa makosa yao
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii Biblia ya wapi, mbona imetumia maneno makali hivii
Hahaha hizo ni local services mkuuuuWakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa.