Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

We kweli mkongwe

Ili enzi zangu naenda pale hakuna cha kulipia chumba

Ukitoa 5000 imetosha vyumba wanavyo wao mule ndani
[emoji1][emoji1], doho mimi mkongwe tuheshimiane aisee. Huenda nipo sawa na baba/mama yako kiumri.

Tumeshaziona za kila aina, tunawachora wanaozipapatikia sasa hivi[emoji1][emoji1]
 
Wekeni machimbo ya dodoma tukapone weekend hii
 
Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa.

Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye mataa pale.

Kweli nikawakuta wamezagaa katika mawindo yao. Sasa sikuwa na uzoefu na hawa watu nikawa nimesimama pembeni kwa mbali kidogo natafuta taiming ya kuwaingilia

Nikawa nashuhudia jinsi wanavyowatukana wanaume ambao walionekana wazi kuwazingua kwa namna moja ama nyingine.

Niliposogea eneo la tukio, wakanikimbilia kama watatu hivi na kunambia kwaiyo kaka vip "Twende basi" Nikaangalia mmoja ambaye niliamin kuwa angenifaa na kupita naye kuelekea katika maeneo yao ya kutolea huduma.

Huduma ilikuwa inatolewa kuanzia shilingi elfu tano (kwa muda mfupi) na kuendelea.

CHANGAMOTO NILIZOKUTANA NAZO.

Kwakuwa nilikuwa mgeni na haya mambo, nilidhani kuwa nitapata huduma kama zile nilizokuwa napata kwa mpenz wangu niliyemuacha kule kijijini. Dooooh kumbe bwana ni chomeka, kojoa , ondoka.

Aisee nilihuzunika baada ya kutumia chini ya dakika moja nishamaliza kila kitu, ikabidi nivunge japo kishingo upande.

Nikaona sio kesi, kwakuwa sijatosheka ngoja nikaokote matirio nyingine kwa huduma zaidi. Nilipotoka nje nikaona bora tu nikalale haina haja tena.

Lakini baada ya wiki moja moyo wangu ulinituma tena niende pale pale nikapunguze kidogo ugwadu.
Hapo sasa ndipo pamenifanya mpaka leo sitamani tena kurudi, wala kujihusisha tena na wale watu.

AISEE
Nilimchukua dada mmoja, tukaenda katika chimbo ambalo anatumia. Hapa haikuwa ndani ilikuwa ni nyuma tu ya jengo flani kuna ukuta na kuna giza totoro. Kibaya zaidi pale mlangoni kulikuwa na mlinzi (Mgambo) lakini wale wadada walikuwa wanamlinda kwa chochote na wanaingia kule.

Ebwana nilikuwa kirundo cha watu wakiendelea kuchakatana. Yaani huyu kainamishwa hapa, yule kalazwa pale anajifanya anaugulia uongo uongo, wengine wanaelewana bei yaani ilikuwa ni uchafu kwakweli.

Daah nikajifikiria busara yangu na hekima nilonayo. Itakuwaje kama nikikutana na mtu anayenijua? Ukizingatia mimi ni mfanya biashara ambaye nilikuwa najulikana kwa kiasi flani.

Daah nikapiga moyo konde, kumwambia yule dada kuwa aniache tu nirudi ingawa pesa yake nilimlipa kama alivyotaka.

  • Mazingira yalikuwa machafu sana
  • Watu walifanya uchafu wazi wazi na bila staha wala kuona aibu
  • Mwanaume mwenzako anakusubiri umalize chap chap umpe nafasi naye afanye yake

Nilirudi nyumbani na kumuomba sana Mwenyezimungu anisaidie, anitie nguvu katika imani na pepo mchafu aniondoke.

Namshukuru Mungu kwa sasa nimeoa , ingawa sisemi kama sichepuki ila kiasi flani naiona nguvu ya maombi yangu na kule mafiati bwana sijarudi Tena

Nina watoto wawili sasa.
Ni hatari sio tuu kuibiwa( kukabwa) bali magonjwa. Wanawake wako wengiii. Hawa wa barabarani ni wa kuwakimbia kabla hujawa addicted
 
Dada poa hakuna mapenzi pale. Bora kuhudumia mwanadada wa maana kuliko kununua malaya. Halafu sijui kwanini wanakataaga kutoa sidiria[emoji23][emoji23]
Daah mwanang sijui umejuaje ilinkutag enzi izo Mara kazaa hawatak kutoa sidiria
 
Nimemaliza kusoma ngoj namim Leo niopoe kitu kimoja Cha njomb
 
,
1653662541722.jpg
 
Dada poa hakuna mapenzi pale. Bora kuhudumia mwanadada wa maana kuliko kununua malaya. Halafu sijui kwanini wanakataaga kutoa sidiria[emoji23][emoji23]
Akitoa sidilia mb**oo inasinyaa hapo hapo.......maana sio Kwa lapa Hilo....
 
Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa.

Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye mataa pale.

Kweli nikawakuta wamezagaa katika mawindo yao. Sasa sikuwa na uzoefu na hawa watu nikawa nimesimama pembeni kwa mbali kidogo natafuta taiming ya kuwaingilia

Nikawa nashuhudia jinsi wanavyowatukana wanaume ambao walionekana wazi kuwazingua kwa namna moja ama nyingine.

Niliposogea eneo la tukio, wakanikimbilia kama watatu hivi na kunambia kwaiyo kaka vip "Twende basi" Nikaangalia mmoja ambaye niliamin kuwa angenifaa na kupita naye kuelekea katika maeneo yao ya kutolea huduma.

Huduma ilikuwa inatolewa kuanzia shilingi elfu tano (kwa muda mfupi) na kuendelea.

CHANGAMOTO NILIZOKUTANA NAZO.

Kwakuwa nilikuwa mgeni na haya mambo, nilidhani kuwa nitapata huduma kama zile nilizokuwa napata kwa mpenz wangu niliyemuacha kule kijijini. Dooooh kumbe bwana ni chomeka, kojoa , ondoka.

Aisee nilihuzunika baada ya kutumia chini ya dakika moja nishamaliza kila kitu, ikabidi nivunge japo kishingo upande.

Nikaona sio kesi, kwakuwa sijatosheka ngoja nikaokote matirio nyingine kwa huduma zaidi. Nilipotoka nje nikaona bora tu nikalale haina haja tena.

Lakini baada ya wiki moja moyo wangu ulinituma tena niende pale pale nikapunguze kidogo ugwadu.
Hapo sasa ndipo pamenifanya mpaka leo sitamani tena kurudi, wala kujihusisha tena na wale watu.

AISEE
Nilimchukua dada mmoja, tukaenda katika chimbo ambalo anatumia. Hapa haikuwa ndani ilikuwa ni nyuma tu ya jengo flani kuna ukuta na kuna giza totoro. Kibaya zaidi pale mlangoni kulikuwa na mlinzi (Mgambo) lakini wale wadada walikuwa wanamlinda kwa chochote na wanaingia kule.

Ebwana nilikuwa kirundo cha watu wakiendelea kuchakatana. Yaani huyu kainamishwa hapa, yule kalazwa pale anajifanya anaugulia uongo uongo, wengine wanaelewana bei yaani ilikuwa ni uchafu kwakweli.

Daah nikajifikiria busara yangu na hekima nilonayo. Itakuwaje kama nikikutana na mtu anayenijua? Ukizingatia mimi ni mfanya biashara ambaye nilikuwa najulikana kwa kiasi flani.

Daah nikapiga moyo konde, kumwambia yule dada kuwa aniache tu nirudi ingawa pesa yake nilimlipa kama alivyotaka.

  • Mazingira yalikuwa machafu sana
  • Watu walifanya uchafu wazi wazi na bila staha wala kuona aibu
  • Mwanaume mwenzako anakusubiri umalize chap chap umpe nafasi naye afanye yake

Nilirudi nyumbani na kumuomba sana Mwenyezimungu anisaidie, anitie nguvu katika imani na pepo mchafu aniondoke.

Namshukuru Mungu kwa sasa nimeoa , ingawa sisemi kama sichepuki ila kiasi flani naiona nguvu ya maombi yangu na kule mafiati bwana sijarudi Tena

Nina watoto wawili sasa.
Hahaha hizo ni local services mkuuuu
 
Back
Top Bottom