Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Nishawahi kula lidadapoa bila kujua. Ile kuzoeana nalo linaishi tu lakini sijui linafanya mishe gani. Siku nikajipigia nikajua muda huohuo naendelea, mbona sikuendelea niliacha.

Siku nyingine nikamwomba namba dada mmoja akanipa faster, nikamtikisa aje tukutane akasema hela yako tu. Nikaamini ana uzungu mwingi kumbe naye muuzaji. Mpaka leo sitongozi mjini huwa nakomaa na ninaowajua. Mara mia nipigwe vizinga kuliko kutoka na dadapoa.
 
Huyo dada anayebadilika kuwa fisi anaitwa Matinde ... watu wa siku nyingi huwa hawamgusi na wenye macho yao ya kiroho huwa hawamgusi

Nilishawahi ona ugomvi live jamaa mwenye macho yake alimuumbua

Wewe unaona unakula mzigo kumbe ni fisi

 
Huo ni ukweli mtupu mi naona kama unaweza hata mama yako usimwamini tu
 
Kutosimamisha kwa dada poa ni jambo la kawaida kabisa
 
Huyo dada anayebadilika kuwa fisi anaitwa Matinde ... watu wa siku nyingi huwa hawamgusi na wenye macho yao ya kiroho huwa hawamgusi

Nilishawahi ona ugomvi live jamaa mwenye macho yake alimuumbua

Wewe unaona unakula mzigo kumbe ni fisi

Yes, ndio mwenyewe huyo.

Hii dunia ina mambo mazito sana, nasikia huyo dada nje ya ile biashara ana maisha safi kabisa. Na ndio hivyo yeye hafanywi hata siku moja, bali anafanywa fisi kwa kiini macho cha sura yake. Na kwa wakware wakimuona tu lazima wajae king fasta kwa muonekano wake.
 
Kweli kabisa[emoji106]
 
Mkuu show za wadada wa kawaida ni tofauti kabisa na madada poa asee, dada poa nikama wanalaana, usione ile misambwanda ukadhani ndani kuna kitu ni bure kabisa
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…