Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Nishawahi kula lidadapoa bila kujua. Ile kuzoeana nalo linaishi tu lakini sijui linafanya mishe gani. Siku nikajipigia nikajua muda huohuo naendelea, mbona sikuendelea niliacha.

Siku nyingine nikamwomba namba dada mmoja akanipa faster, nikamtikisa aje tukutane akasema hela yako tu. Nikaamini ana uzungu mwingi kumbe naye muuzaji. Mpaka leo sitongozi mjini huwa nakomaa na ninaowajua. Mara mia nipigwe vizinga kuliko kutoka na dadapoa.
 
Huyo dada anayebadilika kuwa fisi anaitwa Matinde ... watu wa siku nyingi huwa hawamgusi na wenye macho yao ya kiroho huwa hawamgusi

Nilishawahi ona ugomvi live jamaa mwenye macho yake alimuumbua

Wewe unaona unakula mzigo kumbe ni fisi

Nilidhani ulikutana na majanga ya kueleweka, kuna jamaa kipindi flani nyuma kidogo Sinza Mori pale watu wametoka kwenye mziki wa bendi mara kufika maeneo falni opp na Big Bon akamuona dada mmoja kibonge wa shape na mweupe, akajivinjari nae pale kwenye lodge mitaa hiyo(kwa sasa nasikia ile lodge haipo tena) bhas katika kupiga mambo kwa yule binti mara ghafla akatokea fisi pale bed, kumbe jamaa alikuwa anagonga fisi! Spidi yake hata Bolt hana..ilimchukua muda sana kutulia na kukaa sawa.

Mwingine alikuwa chapombe sana, akaopoa dada poa maeneo flani ya Delexue Mza, ah katika kufanya mambo akanogewa kwa yule binti akaanza kumnyonya matiti.. ah alijikuta kajaa maziwa ya kutosha mdomoni. Yule binti kumbe alikuwa anajiuza huku ananyonyesha!
 
Mkuu siku hizi kuna wengine hawasimami barabarani ni hao hao unawaona mtaani wewe unahudumia kumbe kuna msululu wa watu wanakula kilaini wewe unabaki sponsor...muhimu usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama mzazi kisha chukua tahadhari hata kama mkeo.
Huo ni ukweli mtupu mi naona kama unaweza hata mama yako usimwamini tu
 
Kuna dogo mmoja alikuwa ananisumbua kweli .
Bro nipeleke kwa wanaojiuza nikamwambia wale uwa wezi. Akalazimisha basi nikampeleka pale tegeta kibo. Wanapojiuza nikampa elfu kumi akaenda kuelewana na demu akamwambia elfu saba..
Alipotoka huko.
Ananiambia alishindwa kusimamisha sababu ya uoga.kwanza mazingira yapo ovyo . waliingia kwenye kibanda na kuna watu walikuwepo wanafanya yao.


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kutosimamisha kwa dada poa ni jambo la kawaida kabisa
 
Huyo dada anayebadilika kuwa fisi anaitwa Matinde ... watu wa siku nyingi huwa hawamgusi na wenye macho yao ya kiroho huwa hawamgusi

Nilishawahi ona ugomvi live jamaa mwenye macho yake alimuumbua

Wewe unaona unakula mzigo kumbe ni fisi

Yes, ndio mwenyewe huyo.

Hii dunia ina mambo mazito sana, nasikia huyo dada nje ya ile biashara ana maisha safi kabisa. Na ndio hivyo yeye hafanywi hata siku moja, bali anafanywa fisi kwa kiini macho cha sura yake. Na kwa wakware wakimuona tu lazima wajae king fasta kwa muonekano wake.
 
Mkuu siku hizi kuna wengine hawasimami barabarani ni hao hao unawaona mtaani wewe unahudumia kumbe kuna msululu wa watu wanakula kilaini wewe unabaki sponsor...muhimu usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama mzazi kisha chukua tahadhari hata kama mkeo.
Kweli kabisa[emoji106]
 
Back
Top Bottom