Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Yaliyonifanya niache kununua 'Dada Poa'

Behind the camera

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
315
Reaction score
756
Wakati nimehamia sasa hapa mkoani Mbeya ilifika kipindi bwana nina ugwadu hatari, sina mke wala demu. Katika pita pita za hapa na pale nikasikia kuwa pale njiani majira ya usiku kunakuwa na danguro saaaafi kabisa.

Siku hiyo nikatoka zangu mwenyewe mdogo mdogo nikaelekea Maeneo ya Mafiati kwenye mataa pale.

Kweli nikawakuta wamezagaa katika mawindo yao. Sasa sikuwa na uzoefu na hawa watu nikawa nimesimama pembeni kwa mbali kidogo natafuta taiming ya kuwaingilia

Nikawa nashuhudia jinsi wanavyowatukana wanaume ambao walionekana wazi kuwazingua kwa namna moja ama nyingine.

Niliposogea eneo la tukio, wakanikimbilia kama watatu hivi na kunambia kwaiyo kaka vip "Twende basi" Nikaangalia mmoja ambaye niliamin kuwa angenifaa na kupita naye kuelekea katika maeneo yao ya kutolea huduma.

Huduma ilikuwa inatolewa kuanzia shilingi elfu tano (kwa muda mfupi) na kuendelea.

CHANGAMOTO NILIZOKUTANA NAZO.

Kwakuwa nilikuwa mgeni na haya mambo, nilidhani kuwa nitapata huduma kama zile nilizokuwa napata kwa mpenz wangu niliyemuacha kule kijijini. Dooooh kumbe bwana ni chomeka, kojoa , ondoka.

Aisee nilihuzunika baada ya kutumia chini ya dakika moja nishamaliza kila kitu, ikabidi nivunge japo kishingo upande.

Nikaona sio kesi, kwakuwa sijatosheka ngoja nikaokote matirio nyingine kwa huduma zaidi. Nilipotoka nje nikaona bora tu nikalale haina haja tena.

Lakini baada ya wiki moja moyo wangu ulinituma tena niende pale pale nikapunguze kidogo ugwadu.
Hapo sasa ndipo pamenifanya mpaka leo sitamani tena kurudi, wala kujihusisha tena na wale watu.

AISEE
Nilimchukua dada mmoja, tukaenda katika chimbo ambalo anatumia. Hapa haikuwa ndani ilikuwa ni nyuma tu ya jengo flani kuna ukuta na kuna giza totoro. Kibaya zaidi pale mlangoni kulikuwa na mlinzi (Mgambo) lakini wale wadada walikuwa wanamlinda kwa chochote na wanaingia kule.

Ebwana nilikuwa kirundo cha watu wakiendelea kuchakatana. Yaani huyu kainamishwa hapa, yule kalazwa pale anajifanya anaugulia uongo uongo, wengine wanaelewana bei yaani ilikuwa ni uchafu kwakweli.

Daah nikajifikiria busara yangu na hekima nilonayo. Itakuwaje kama nikikutana na mtu anayenijua? Ukizingatia mimi ni mfanya biashara ambaye nilikuwa najulikana kwa kiasi flani.

Daah nikapiga moyo konde, kumwambia yule dada kuwa aniache tu nirudi ingawa pesa yake nilimlipa kama alivyotaka.

  • Mazingira yalikuwa machafu sana
  • Watu walifanya uchafu wazi wazi na bila staha wala kuona aibu
  • Mwanaume mwenzako anakusubiri umalize chap chap umpe nafasi naye afanye yake

Nilirudi nyumbani na kumuomba sana Mwenyezimungu anisaidie, anitie nguvu katika imani na pepo mchafu aniondoke.

Namshukuru Mungu kwa sasa nimeoa , ingawa sisemi kama sichepuki ila kiasi flani naiona nguvu ya maombi yangu na kule mafiati bwana sijarudi Tena

Nina watoto wawili sasa.
 
Hivi wajomba lile chimbo letu la pale Tandika bado lipo!! Nimetafuna sana wadada wa kihaya pale enzi hizo nasoma sekondari, kipindi cha likizo nilikuwa natoka kwetu kijijini naja Dar kusoma 'tuition' baada ya masaa ya tuition nilikuwa nazama hapo kukosha rungu.
 
Mkuu siku hizi kuna wengine hawasimami barabarani ni hao hao unawaona mtaani wewe unahudumia kumbe kuna msululu wa watu wanakula kilaini wewe unabaki sponsor...muhimu usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama mzazi kisha chukua tahadhari hata kama mkeo.
Dada poa hakuna mapenzi pale. Bora kuhudumia mwanadada wa maana kuliko kununua malaya. Halafu sijui kwanini wanakataaga kutoa sidiria[emoji23][emoji23]
 
Hivi wajomba wa Dar,lile chimbo letu la pale Tandika bado lipo!! Nimetafuna sana wadada wa kihaya pale enzi hizo nasoma sekondari,natoka kwetu kijijini naja Dar kusoma masomo ya ziada 'tuition'.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilidhani ulikutana na majanga ya kueleweka, kuna jamaa kipindi flani nyuma kidogo Sinza Mori pale watu wametoka kwenye mziki wa bendi mara kufika maeneo flani opp na Big Bon akamuona dada mmoja kibonge wa shape na mweupe, akajivinjari nae pale kwenye lodge mitaa hiyo(kwa sasa nasikia ile lodge haipo tena) bhas katika kupiga mambo kwa yule binti mara ghafla akatokea fisi pale bed, kumbe jamaa alikuwa anagonga fisi! Spidi yake hata Bolt hana..ilimchukua muda sana kutulia na kukaa sawa.

Mwingine alikuwa chapombe sana, akaopoa dada poa maeneo flani ya Delexue Mza, ah katika kufanya mambo akanogewa kwa yule binti akaanza kumnyonya matiti.. ah alijikuta kajaa maziwa ya kutosha mdomoni. Yule binti kumbe alikuwa anajiuza huku ananyonyesha!
 
Kuna dogo mmoja alikuwa ananisumbua kweli .
Bro nipeleke kwa wanaojiuza nikamwambia wale huwawezi. Akalazimisha basi nikampeleka pale Tegeta kibo. Wanapojiuza nikampa elfu kumi akaenda kuelewana na demu akamwambia elfu saba..
Alipotoka huko.
Ananiambia alishindwa kusimamisha sababu ya uoga. Kwanza mazingira yapo ovyo. Waliingia kwenye kibanda na kuna watu walikuwepo wanafanya yao.


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siku hizi kuna wengine hawasimami barabarani ni hao hao unawaona mtaani wewe unahudumia kumbe kuna msululu wa watu wanakula kilaini wewe unabaki sponsor...muhimu usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama mzazi kisha chukua tahadhari hata kama mkeo.
Hiyo ni kweli kabisa mkuu. Lakini katika muktadha wa kutoa gemu madada poa ni wahujumu uchumi hakuna mapenzi pale asee
 
Back
Top Bottom