Daah pole mie kisa changu ni chakichawi .
Nimeamini marafiki nimewasaidia hadi na sasa sijaolewa , sijafika nitakako kisa wao mtu anakuchukulia nyota yako ili aolewe ,ili awe na biashara kubwa na nzuri , ili aende kufanikisha kila atakalo yeye anakiacha huna mbele wala nyuma unakwama hadi unatafuta wanaume mitandaoni na huku mimi sikuwa napendwa na watu hoi hoi ni vifaa kweli .
So maisha ndio hayoo . Niliewekewa kizuzi nisiolewe , nisiwe naufahamu wakuwa umri unasonga .
Walahi saivi siitaji marafiki kwasasa hujui adhari zao hadi ukwame ndio ujue .
Kazi nilikuwa napata haraka sana napendwa nakuaminika .
Ee mola niepushe na hao marafiki sitaji marafiki .
Walahi