Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

Kwa hiyo umeamua kuna kunianika huku au sio ? Acha mambo ya kishamba Jose ,duniani hapa tunapita .
Boya wewe
 
NDO MANA MIMI SINA SHOGA WALA RAFIKI
 
Kwani degree ni aiseee nenda NAIJA wale wauza papuchi wote wana degree mbili mbili sasa wameamua kuwa wezi tu wa mitandao.
 
Sio rafiki tu au mshkaji anaweza kukufanyia hayo hata ndugu wa karibu au wazazi wa kambo wanaweza kukutendea hayo. Bin-Adam tuna kasumba sana!
 
Usikae na mwanaume mwenzako gheto moja bora ukae na malaya
 
Duh
 
Samweli Samweli utachomwa moto siku si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…