Yaliyonikuta baada ya kuoa mwanadada anaetumia ID ya housegirl humu JF!

Yaliyonikuta baada ya kuoa mwanadada anaetumia ID ya housegirl humu JF!

Wengi tu mbona wanafua mpaka pichu lakini anampa mke nguo akaanike nje eti majirani wasijue kama yeye anafua.
Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Haki sawa...Joyce kilia tuhurumie wanaume jmn...[emoji85]
 
Hii ni story ya upande mmoja ngoja tuskie upande wa pili kama kweli yy ndiyo anapaga majukumu!

Kila ndoa ina Katiba yake hatuwezi kuigilia katiba ya ndoa yenu pengine katiba yenu mke ndiyo mwenye mamlaka makubwa hatuwez kujua
 
Back
Top Bottom