Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaaWengi tu mbona wanafua mpaka pichu lakini anampa mke nguo akaanike nje eti majirani wasijue kama yeye anafua.