Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Sep 17, 2016 #21 Sky Eclat said: Wengi tu mbona wanafua mpaka pichu lakini anampa mke nguo akaanike nje eti majirani wasijue kama yeye anafua. Click to expand... Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaa
Sky Eclat said: Wengi tu mbona wanafua mpaka pichu lakini anampa mke nguo akaanike nje eti majirani wasijue kama yeye anafua. Click to expand... Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaa
Xhaks JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 244 Reaction score 225 Sep 17, 2016 #22 [emoji1] [emoji1] [emoji1] Haki sawa...Joyce kilia tuhurumie wanaume jmn...[emoji85]
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Sep 17, 2016 #23 Hii ni story ya upande mmoja ngoja tuskie upande wa pili kama kweli yy ndiyo anapaga majukumu! Kila ndoa ina Katiba yake hatuwezi kuigilia katiba ya ndoa yenu pengine katiba yenu mke ndiyo mwenye mamlaka makubwa hatuwez kujua
Hii ni story ya upande mmoja ngoja tuskie upande wa pili kama kweli yy ndiyo anapaga majukumu! Kila ndoa ina Katiba yake hatuwezi kuigilia katiba ya ndoa yenu pengine katiba yenu mke ndiyo mwenye mamlaka makubwa hatuwez kujua
kimange JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,339 Reaction score 1,298 Sep 18, 2016 #24 Piga kazi msaidie jf wife uliyataka mwenyewe
opencheque Member Joined Aug 10, 2016 Posts 88 Reaction score 39 Sep 18, 2016 #25 Elli said: Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaa Click to expand... Nimeipenda hiyo.
Elli said: Napenda Sana Sana pichu za my wife wangu, hata akisafiri akianicha peke yangu huwa natafuta pichu zake kabatini nazifua tena hahahahaa Click to expand... Nimeipenda hiyo.