Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Mie nisinge rudi ningemwambia siku nyingine
 
Aiseee...litakua ndio linavutia wateja pale..na bora ulivyomshauri atupe
 
We unavyohisi huyu alikutana na jini kwa mujibu wa Maelezo yake?
Na je kuna uwezekano wa kukutana na jini mchana?

Uwezekano wa kukutana na jini ni mkubwa sana hasa kwa wale wanaoishi jirani na vyanzo vya elements ambazo zinpatikana kwa wingi kama maji,moto,upepo,udongo hivyo kwa wale wenye kukaa jirani au mkoa wenye mazingira haya basi asilimia za kukutana na majini ni kubwa kwa sababu wao hutumia elements hizi kuishi na hasa sehemu za starehe of cause hicho kiumbe alichokutata nacho kwa maelezo yake ni jini ila kama kaongea kujifurahisha basi kapatia ishara ndogo nimshauri next time akumbuke kuangalia viatu anavyovaa huyo kiumbe ili awezee kujua na aina za viatu, pia yeye yule jini ndo alitaka huyu dogo amuone ndio maana akapigwa kikumbo, angetaja na juma alilokutana ne ningemwambia ni juma gani anaweza tena kuonana nae

Bofya hapa kupata kidogo kihusu viumbe hawa Rakims Spiritual

Rakims
 
We yna4 njoo hapa
 
Ungempigia simu mr jr aje azichape nalo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…