Yaliyonikuta jana!!

Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Jini ana uwezo wa kujibadilisha kuwa binadam lakin kamwe hawezi akabadilsha macho yake yakawa na kiini cheusi kama macho yetu. Mim pia nilikutana nae lakin kabla sijakaribiana nae mwili ulisisimka, nikajua tu hapa kutakuwa na kitu kibaya. Na kweli nilipomuona na akagundua kuwa nimemuona macho yake alitoweka ghafla sijui hata huwa wanayeyukia wapi. Utachangaa tu anaanza kupotea taratib Mara ghafla humuoni. Sehem zenye watu wengi huwa wanapenda sana kujumuika na binadamu
Na miguu je anauwezo wa kuibadili?
 
Huwa wanapendelea saaaana kuwafata wanawake kuliko wanaume,mi nilikutana nae kwa dharura tu ilikuwa kwenye daladala,alilipa nauli ya kwenda mpaka mwisho wa gari lakin nilipomgundua Tu alishuka kituo kilichofata. Alikuwa kavaa mawan tinted,sasa wakat anafuta jasho na kutoa mawan ndo nikamuona na alionsha hali ya kustuka baada ya kumuona
Hadi nauli wanalipa kwahiyo makonda wa magari wanakutana nayo sana itakuwa
 
Huwa wanapendelea saaaana kuwafata wanawake kuliko wanaume,mi nilikutana nae kwa dharura tu ilikuwa kwenye daladala,alilipa nauli ya kwenda mpaka mwisho wa gari lakin nilipomgundua Tu alishuka kituo kilichofata. Alikuwa kavaa mawan tinted,sasa wakat anafuta jasho na kutoa mawan ndo nikamuona na alionsha hali ya kustuka baada ya kumuona
Duuuh!!
 
Nisikudanganye ndugu,mi sina elimu hii zaid ya story tu za hapa na pale kuhus hawa viumbe. Ni viumbe wabaya sana,wakiamua kukutesa wanakutesa haswaa mpak utaiona dunia chungu na kutaman ufe tu
Kweli mkuu
 
Wanapenda sana kukaa sehem zenye watu wengi na kujichanganya. Tunapishana na viumbe ving sana kwenye mizunguko yetu,ni Mungu Tu ndio anatulinda la sivyo wangetuumiza sana hawa viumbe
Kwakweli ndiyo maana tunaambiwa kabla ya kutoka nyumbani omba kwanza duu, Mungu atusaidiye sana
 
Mm nakumbuka tulienda Bahari beach kuogelea maeneo ya Tegeta katikati ya kibaoni na kwa ndevu ndio unakutana na Bahari beach basi tulivyotoka kwenye maji tukaenda kucheza mchezo wa kujichimbia kwenye michanga pembeni yetu ghafla tukaona mkaka mzuri amevaa nguo nyeupe t-shirt mpaka suruali yuko peku hana kitu chochote amesimama anatuangalia sisi tuakendelea kucheza baada kama ya dkk 1 akawa haonekani na maeneo ya beach kama mtu anatembea lazima utamuona umbali mrefu tukaanza kuogopa ghafla tunaona wakaka wengine wanakimbia wameshika nguo mkononi ikabid na sisi tutoke nduki kuelekea maeneo ya nyumba na vipensi vyetu tukafika mbele tukavaa nguo tukaenda mpaka kwenye kituo cha pikipiki tukamuuliza mmojawapo akasema nasikia watu wanasemaga huwa kuna jini la kiume toka siku hiyo sijaenda bahari beach tukahamia Mahaba beach ya BOKO.
we demiss basi nakujuaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ni wewe
 
Back
Top Bottom