Yaliyonikuta jana!!

Yaliyonikuta jana!!

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
hivi kwann majini yanapenda kuvaa kiislamu?
Nimecheka sana mkuu!! Sio kiislam sema kiarabu na kuna tofauti kubwa kati ya uarabu na uislam na Poa niambie kuna utamaduni na imani, waafrika wengi hudhani kwamba uislam and ni pamoja na utamaduni wa kiarabu! Au ukristo ni pamoja na kuvaa kizungu yaani suti na tai! Ni mada nndefu inahitaji uzi wake
 
Naomba ufungue uzi ili tupate udadavu mkuu
 
Back
Top Bottom