Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
na mimi nataka nilioneesaiv upo wapi?
majini nikawaida kukutana nayo hapo mkuu..
na huko kugongwa haikuwa bahati mbaya,lazima mkutane tena,keep in mind..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimi nataka nilioneesaiv upo wapi?
majini nikawaida kukutana nayo hapo mkuu..
na huko kugongwa haikuwa bahati mbaya,lazima mkutane tena,keep in mind..
usijali mtakutana tu..na mimi nataka nilionee
Ahsante shooPolee shoo.
ameona unaweza kuwa mshirika wake labda.Ahsante...linikariri ili iweje?
Nilipokua naandika huu uzi..nilikua sijalalaAmka upo unaota wewe
Embu nawe..anakuja usiku huyo kukugegeda andaa nyonga iyo kwa ushirikiano mzuri
Shujaa ndio nn?Sio kwamba juzi ulilala umenyonga Shujaa
Ahsante mwayaDooh polee
Unataka ulione nn?na mimi nataka nilionee
[emoji23][emoji23]usijali mtakutana tu..
Weh acha banaameona unaweza kuwa mshirika wake labda.
HahahhaSiku nyingine uache ushamba wa kushangaa shangaa mjini mpaka unaparamiana na majini. Utakuja kupelekwa chini ya bahari huko shauri yako.
AshindweeeePole sana... Si kila unayemuona ni binadamu wa kawaida... Wengine si binadamu kabisa... Lakini yaani mmepigana vikumbo na yeye kageuka... Nadhani muda huu atakuwa yupo pembeni mwako
hahaha we demi [emoji23][emoji23]Badala ya kumtongoza ukaishi kushangaa
Aiseee hongera bana..kwa kujuana na majiniUyo ni jini alafu mimi namjua
[emoji23] [emoji23] kaa nalo tu maana ukijibu vibaya tu nampigia jini ajeHahahha
Nakutafutia jibu