Yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala

Tatizo Wala sio daladala, kichwani hamna hesabu humo. Umesoma mashairi ya Andanenga na mahesabu wapi na wapi?
 
Biashara mkuu usipo kua nayo kalibu sana unapigwa live
 
Kwani hela ya chuo na ya kununulia Hiace ipi kubwa?
 
Kibongo bongo unae toa mtaji mara nyingi unaumia hasa biashara ambazo haupo happ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ