Yaliyonikuta kwenye biashara ya daladala

Umenifanye nicheke kwenye gari.
 
Mkuu sometimes biashara usipo kua nayo kalibu kujua kinacho ingia na kutoka kwa siku nayo ni rahisi mno kufirisika
Mkuu kwa hiki kiswahili chako wewe utakuwa mmeru wa Kenya
L na R si tatizo la wameru wa Arusha.
 
Nje ya mada

Kuna siku nimepanda daladala ya Mbagala-kawe.

Njiani kuna foleni sana, halafu gari imejaa nyomi.

Si kuna jamaa akajiongeza alikua katikati akaanzia pale kati kudai nauli huku anarudi nyuma.

Jamaa akakusanya nauli mpaka mwisho, kisha huyooo akashuka zake akawaaachia msala konda na abiria wake.
 
Basi kisanga kinaanza asubuhi nawasha dcm nafikiri gear zake Rahisi kama za land cruiser 🙌Oya gear unatumia nguvu kama unataka kungoa muhogo
Hukutoa macho kama umenaswa na mtego mkuu? What if kufika sehemu mitambo imegoma gari halisimami gear zimegoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…