Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo
kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda
nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe
yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama
Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno
namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.
Ukikazia kesho itakua bora kuliko Leo. Wenzako wanaanza na matunda kidogo baada ya chakula ukizoes unapunguza chakula na kuongeza matunda mwisho unakua na matunda tu.
Mchana [emoji23]
Usiku sawa hata mm naweza ila mchana hapana bora nitupie dona[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kwa kwel hapana napo nitajarbu kesho endapo leo usku nitakula daku[emoji16]Ukikazia kesho itakua bora kuliko Leo. Wenzako wanaanza na matunda kidogo baada ya chakula ukizoes unapunguza chakula na kuongeza matunda mwisho unakua na matunda tu.
Asante sana ndugu. NimepoaaPole huwa inakuwa ngumu kwa mara ya kwanza si hujazoea lkn baadaye hali hukaa fresh .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kula matunda thn mboga za majani na maji ya kutosha hii hutosikia njaa kabisa
[emoji120][emoji120][emoji120] nitafanya hivyoJaribu kula matunda thn mboga za majani na maji ya kutosha hii hutosikia njaa kabisa
Hahah polepole nami nitafika kama weweUkijizoesha raha sana ,mm asubh muda mwingine huwa natumia chia seed na maziwa hapo nashiba haswaa ,,mchana natumia matunda ,jioni mbegu za maboga usiku matunda na niko freshh tu
Japo mwanzo ilikuwa ngumu sana ila nilijitahidi nikamudu na mpaka sasa kujilisha vyakula vya ngano tumbo halimudu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Note ; mwaka mzima nilijaribu kuanchana na ulevi wa wanga/sukari n.k
Asante ndugu... baadaye nitaleta mrejeshoNote ; mwaka mzima nilijaribu kuanchana na ulevi wa wanga/sukari n.k
Mwaka ulofata nikaanza zoezi rasmi na kufikia malengo
Si jambo la haraka ni jambo la kuanza taratibu mana kulinda afya ni jambo la kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mm pia siwezi kuhimili hizo harufu hata kama na hela ya mtu atanisamehe tu kwakweli mateso ya kuvumilia harufu za misosi ni mtihani kweli kweli.Tatizo najaribu sana tu kula hivyo ila kazini nilipo kuna ka upepo
kanatokeaga wapi hata sijui,kanakujaga tu siku kakijua nimekula matunda
nikirudi tu nikakaa nitaanza sikia harufu za nyama choma,mara pilau,mara kiepe
yani najitahidigi kupuliza air fresh ila wapi ile harufu haikati mpk nikafate hilo pilau au nyama
Nishajaribu sana ila hii harufu inaniviziaga tu nimemaliza kula matunda,inakuja kwa speed mno
namimi kero za hii harufu kuzihimili siwezi huwa najikuta nishafata mishkaki na kiepe Muda tu.
Hahah we jamaa inaonekana ni mlaji mzuri sana wa misosi[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] mm pia siwezi kuhimili hizo harufu hata kama na hela ya mtu atanisamehe tu kwakweli mateso ya kuvumilia harufu za misosi ni mtihani kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app