Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
utankumbuka nakwambia😕😕😕🚶🏾♀️Kijana wa hovyo hapana kwa kwel😁😁😁
utankumbuka nakwambia😕😕😕🚶🏾♀️Kijana wa hovyo hapana kwa kwel😁😁😁
Mbaya sana kuwa karibu ki nguoni na mama mkwe.Ujasiri wa kuketi siti moja na mama mkwe uliutoa wapi? Huna tofaut na min -me kabisa
Asa apa ni jinsia mbili tofautiYaan ata movie ntaangalia si shosti yangu labda babmkwe
Ila ntaangalia tu kwakwlAsa apa ni jinsia mbili tofauti
Huwezi apo unabaki unausemea moyo liwalo na liwe 😂Ila ntaangalia tu kwakwl
Watu wanakaa na kupiga gambe MPAKA mama mkwe anakatika. Mambo ya mjini boss sikuhizi hakuna heshimaUjasiri wa kuketi siti moja na mama mkwe uliutoa wapi? Huna tofaut na min -me kabisa